Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Mama ana shida gani kwani? Nchi iko salama mikononi mwa Samia
 
Una hakika inaendeshwa kwa hasara? kwa taarifa yako uwanja ule unaendeshwa kwa faida. Nendeni mkauze mali za Zanzibar waachieni watanganyika mali zao. Ziara za Uarabuni kila kukicha ili kunadi mali za watanzania bara.

Mmezidi mno kuwachukia waarabu na kuupiga vita uislamu ndio maana tupo nyuma kimaendeleo, halafu kaa ukijua hii nchi waislamu ni wengi zaidi ya wakristo!!!!
 
Iwe mwarabu iwe mzungu! sisi CHADEMA tunasema hatutaki uwekezaji hapa, sisi wenyewe tunaweza, wakawekeze sehemu nyingine huko! na viongozi wetu wa dini hasa TEC ikiPadre Kitima watusaidie kupaza sauti
 
Iwe mwarabu iwe mzungu! sisi CHADEMA tunasema hatutaki uwekezaji hapa, sisi wenyewe tunaweza, wakawekeze sehemu nyingine huko! na viongozi wetu wa dini hasa TEC ikiPadre Kitima watusaidie kupaza sauti

Padri ndio nani? Huwa mnajikuta sana enyi wayahudi weusi
 
Unajua kwamba uwanja unaoongoza kwa ubora duniani yaani uwanja wa kimataifa wa uingereza heathrow airport amepewa muarabu auendeshe sasa kuna ajabu gani kiwanja kama kia ambacho kimekaa kwa famila chache miaka yote huku serikali haipati chochote wala haujaboreshwa miaka yote hiyo kupewa mbia mwingine aendeshe?
 
So pathetic man, this is about rasilimali za nchi is not about race and religion hapa

Resources za nchi ziko at risk halaf unaleta udini? Be serious
KWani mambo ya ppp yameanza leo mkuu? Mashirika yote ya serikali yanaendeshwa kwa ubia na sekta binafsi ndio sera yetu ya sasa na sio tanzania tu , hata heathrow airport ya uingereza saudi investment fund ndio major shareholder sasa hapo kipi cha ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…