Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

Mkuu nipe maujanja unafanyaje, na mimi natumia halotel kwenye mambo ya data.
Sasa hivi zinapatikana laini chache na tunapigwa kimya kimya mimi sina ujuzi wowote wa hayo maujanja natumia zangu kihalali na hapa nilipo natafuta connection ya kunipush.

Kuna huyu boya na wenzako ndio waliwachoma watu wa Free data Vpn mpka nyingi zikasambaratishwa..
 
3.Kupanda kwa bidhaa hilo halikwepeki ila kwa swala la vifurushi mwaka huu imevunja rekodi haijavuka miezi mitatu toka gharama zipande mara ya mwisho na kabla yake zilipanda tena mwaka huu na kutimiza idadi mara tatu mpaka sasa kwa hesabu ndogo . Swala la kupanda halikwepeki ila tunazingatia zinapandaje na kwa kiwango na muda gani ?
 
Hivi hii lugha ni kwel ina benefits au ni kupigana kamba tuu.. kama ingekua na benefits kihivyo bas elim ya sekondar na chuo kikuu ingekua kwa lugha hyo. Mikataba ya kaz pia.. tusidanganyane bana nyie walimu wa kiswahil
 

sasa wewe huezi kusema kupanda kwa kiwango gan kwa sababu mwisho wa sku gharama za uendeshaji wa biashara wanazijua makampuni, huezi waambia pandishen asilimia 1 tu, unajuaje kama hio asilimia 1 kwao bado ni hasara?
- at the end of the day kupanda hakuna kikomo, mradi balance sheet zmebalance ofisini, analipa wafanya kazi na amerudisha ela yake ndo wakaona hio ndo bei nzuri

- lakini pia upandaji unaweza kua na mkono wa serikali nyuma yake, kwa lolote lile linaloendelea lazima ujifunze diversifaction haswa uchumi tafauti tafauti
 

- hakuna vpn ya free internet amini nachokwambia, VPN kazi yake ni kuficha utambulizi wako mtandaoni, VPN maana yake virtual private network maaana yake unatengenezewa pings private kwenye connection yako, mfano ukiandika facebook.com, hii request inabadilishwa inakua address ya vpn, mfano akam vpn yako inaitwa jamii forum, then ukiandika facebook.com, hio request inakua forged inakua jamiiforum.com?returnpacket=facebook.com


  • kwahio voda yeye ataona tu request inasema jamiiforum.com! jamiiforum atachukua hio request ataprocess kwenye computer zake atarudisha tena mfano jamiiforum.com?returnpacket=flani liked your picture!
  • ukiangalia kwa kutumia mitandao ya simu utaona tu client anaongea na jamii forum one to one kumbe kuna exchange kubwa ya data!

- Connection ya internet ni ngumu sana na complex lazima uwe na hardware za kufanya connection mfano minara, satelite hizo vpn wanaokwambia wana free internet hakuna kitu kama icho na haiwezi kutokea hakuna connection ya vpn na free internet but privacy tu! na hata ukiwa na vpn u will still be charged kwenye bundle lako kawaida
 
Lakini bado mserereko unapatikana mfano bando la jero Mb250 kwa kuwatch matangazo na kutuma link unapata hata GB7 hakikwami mahali popote na hazina kikomo ..
 
Yani wamekata dk 50 nzima halafu kimya kimya, na bado hiyo 1Gb kuanza kuipunguza.
Line yangu ya voda nilianza itumia 2007 haijawahi badilika chchte mpaka Sasa means Lila niliempa namba mwaka wowote kwanzia 2007 bado akipiga no zile zile atanipata tofauti na watu wengne ila mwaka 2020 niliacha hio line rasmi imebaki na itumia wasap tu vocha haiwekwi mwaka wa pili Sasa .nikaamia rasmi halotel...na wenyewe karibia watanipoteza imagine kwa mwezi Wana 30k yangu bado watu wengne afu wanaleta tamaa
 
Lakini bado mserereko unapatikana mfano bando la jero Mb250 kwa kuwatch matangazo na kutuma link unapata hata GB7 hakikwami mahali popote na hazina kikomo ..

vpn haihusiani na bundle kijana nn huelewi apo


sjui kama unaona bundle apo
 
Endelea kubisha
 
🀣 🀣 🀣 basi katumie hio vpn yenye free internet binti
View attachment 2311991

vpn na internet wap wap nyie mabinti?
Umepewa na ushahidi bado hutaki watu wametumia sana hizo nawajua sijawahi tumia sababu sijawahi kosa hela ya bando na nilikuwa sitaki jifunza kutumia hata mpaka badae zikajulikana na kuanza fungiwa
 
We ni mpumbavu sana...umepewa na ushahdi bado hutaki watu wametumia sana hizo nawajua sijawah tumia sababu sijawahi kosa hela ya bando na nilikuwa sitaki jifunza kutumia hata mpaka badae zikajulikana na kuanza fungiwa
"Tatizo binadamu wa siku hizi wabishi mno" by Smart911
 
nilikuwa natumia 1500 kwa week ila sasa hivi natumia 6000 kwa week sina hamu
 
We ni mpumbavu sana...umepewa na ushahdi bado hutaki watu wametumia sana hizo nawajua sijawah tumia sababu sijawahi kosa hela ya bando na nilikuwa sitaki jifunza kutumia hata mpaka badae zikajulikana na kuanza fungiwa

kumbe hujatumia nmekupa na formular kabisa vpn yangu ilivokua inafanya kazi, una lingine?
 
Kuanzia mwezi wa 9 vifurushi vitakuwa bomba sana kwa upande wa TTCL.
Ni suala la muda tu.
 
Nape, Mwigulu, Makamba.
nitakuwa wa mwisho kupanda boti yao
 
Nakumbuka kwenye bajeti walisema wamepunguza kwa asilimia 43 sasa cha ajabu eti ndio bei zinapanda tena.

Labda haya makampuni yameambiwa yaje yaichangie ccm fedha kwa ajili ya mkutano wao mkuu baadaye mwaka huu na chaguzi zijazo kwa sababu sasa hii maana yake ni nini? Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…