Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

Si bora
Katika nchi 20 tajiri duniani India IPO

Napia sijasema abak india akimaliza masomo bali aende sehemu nyingne ulaya, uarabuni au Amerika ni rahisi kwake kutokana na elimu yake

India elimu yake inaheshimika Dunia nzima, India sio jalalani
Niende somalia kuliko kuenda india kwenye maslum ya kipumbavu huko kila kona
 
Unajidanfanya s
Mkuu umesoma Uzi au unakuja kutukana

Hata kungekua na slum nchi yote hatuna Cha kujifananisha na India sisi Tanzania, half nimesema akimaliza ni rahisi kwake kwenda ulaya, Amerika au uarabuni sjasema abak india
unajidanganya sana ndugu yangu maisha hayapo hivyo
 
Hapa ofisi ninayofanya kazi (shirika la umma)kuna washikaji zangu watatu wamesoma China, India, na Uingereza.

Huwa wananisimulia walivyohangaika kupata hii kazi. Nikikumbuka mimi pia nilivyohangaika kupata hii kazi, nilivyosota miaka mitano mtaani.

Namsupport huyo jamaa, ukiwa na kazi ya uhakika ni rahisi kutimiza mambo mengi kwenye maisha. Maisha yamekuchapa ukatae kazi kisa scholarship

Grass is always greener on the other side!
 
Aende alafu arudi bila chochote na masters yake unayedhani karogwa
 
Hao ni walewale tu wajinga wajinga yani usome uingereza, china au India master's uje utegee mitego kazi bongo huo si ujinga

Uko china na uingereza wanaruhusu wanafunzi wa master's kubaki wakimalizana masomo kama wamepata kazi sehemu kwann urudi bongo?

Huo ni ujinga mkubwa wao wenyewe
Uingereza Kuna graduate route visa na China Kuna Post-study work visa unarudije unyanini kama sio hujielewi?
 
Kufikiri kwa makini ni muhimu! Jamaa alimaliza ualimu ngazi ya degree, akapiga hesabu ya kufa mtu! Wazo la kuuza chips likamjia ila familia ikapinga kwa nguvu zote. Akasema hakuna wa kumuamulia maisha yaje. Akaanzisha kibanda cha chips na akakiendesha kisomi. Biashara ikakubali na sasa ana vibanda 3. Anachoaangalia ni kipato cha siku ambacho ni mara 50 ya kipato cha ualimu. Amejenga nyumba nzuri na ana familia. Hii mikopo ya waalimu ni pasta kichwa, ni "kausha damu ya kisawasawa "
 
Unajidanfanya sunajidanganya sana ndugu yangu maisha hayapo hivyo
Yapoje wakenya wananigeria wanajazana Kila nchi sababu ya uthubutu HAWANA akili kama zenu za kuridhika hovyo na vitu vidogo, et maisha hayapo hivo huo n uzwazwa
 
Kwanza wabongo tunaroho mbaya mtu ukisoma Sana tena nje unaweza usipewe kazi watu wanakuona tishio sio kwamba utaisaidia taasisi au kampuni Sasa hio ni nchi ya kuishi Kwel?
Na Nyie wasomi somtimea mnazingua....eti kwa sababu mmesoma hata kazi hamtaki kufanya kazi Yenu ni kutuma tuma tu sasa ujuzi wako tutaudaidi lini?
Na mnasoma sana ili msiifanye kazi. Kuna watu wana bidii sana ya kusoma kwa nguvu mno. Lkini wakifika kazini utashangaa anakuwa namba one kwa uvivu.
 
Yapoje wakenya wananigeria wanajazana Kila nchi sababu ya uthubutu HAWANA akili kama zenu za kuridhika hovyo na vitu vidogo, et maisha hayapo hivo huo n uzwazwa
Bongo kuna Watoto wazuri aisee naachaje? Kama mshahara huu huu unatosha lakini mtaani tunavimba...
.Hahaha
 
Well Said! Umeelezea kitu cha maana kabisa.
Watanzania wengi sio wabeba maono ndio maana umasikini hauishi katika jamii zetu! Kutoka nje ya box kuna gharama zake ndo maana wengi wanakimbia mchakato! Huwezi kufanikiwa bila kupitia mchakato/process wengi wapenda dezo unaingia kazini asubuhi unatoka jioni na kwenda kuongelea mpira wa simba na yanga..
 
Mleta mada anavyolalamika sana as if kama kama na yeye yupo USA,Oman,au UAE usikute yupo Gamboshi simiyu huko akichimba chumvi
Hahaha.....anajaribu kutufungua akili.

Unaendaje kusoma Nje Ulaya huko lets say miaka 5 hadi 6 then unaruudi kugobania kazi za halmashauri? Utakuwa hujielewi
 
Wewe unaona scholarship ndio maisha? Kuna mambo mengi ya kufanya sio lazima kusoma sana halafu huhui ukimaliza kusoma utafanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…