Pre GE2025 Watanzania Tumlinde na Kumtetea Kwa Nguvu zetu zote Rais Samia Zidi ya Waroho Wa Madaraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Suala la watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha na wengine kutekwa na kukutwa wamekufa kama ilivyotokea kwa Mzee Ally Kibao ni mambo makubwa yanayogusa hisia za watu wote na yanayopaswa kukomeshwa mara moja na wahusika kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Lakini sote ni mashuhuda wa namna Rais wetu alivyoguswa na kukemea vikali sana na kuagiza uchunguzi wa kina ufanyike juu ya matukio hayo.

Hata upande wa chama changu yaani CCM nacho kimekemee vikali sana na kuonyesha kuumizwa na kukasirishwa sana na matukio hayo. Kwa hiyo ndugu yangu Bams napenda kusema kuwa Masuala ya utekwaji na kupotea kwa watu hakuungwi mkono ndani ya chama na ndani ya serikali
 
Uroho wa madaraka ni kukataa tume huru na kujilimbikizia madaraka
 
Kwanza naomba uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais.pili Ni kuwa mikono ya Rais wetu ni misafi na safi kabisa na hajawahi na hawezi kumwaga damu wala kuagiza kumwagwa Damu ya Mtanzania yeyote yule. Mwisho ni kuwa Mheshimiwa Rais ameshatoa maelekezo ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina juu ya matukio yote ya kupotea na kutekwa kwa watu.
 
Huna akili wewe. Matishio ya uhai wa watu unaita changamoto ndogo ndogo! Hebu eleza watanzania wamlinde na kumtetee vipi rais Samia na dhidi ya nani?
 
Mlinde pekee yako na ndugu zake inatosha

Hata sisi tunawakuwalinda wasitekwee mkuu
Bora yeye asiyetekwaa anaogop kupoteza madaraka

Sisi maisha yetu yapo hatarini ndio hofu yetu ya kupoteza uhai
 
Mlinde pekee yako na ndugu zake inatosha

Hata sisi tunawakuwalinda wasitekwee mkuu
Bora yeye asiyetekwaa anaogop kupoteza madaraka

Sisi maisha yetu yapo hatarini ndio hofu yetu ya kupoteza uhai
Wala usiwe na wasiwasi wala hofu endelea kuwa na amani kabisa, maana serikali ipo na itaendelea kukulinda wewe na mali zako.
 
Wala usiwe na wasiwasi wala hofu endelea kuwa na amani kabisa, maana serikali ipo na itaendelea kukulinda wewe na mali zako.
Kama Ali kibao amechukuliwa mchana kweupe
Tena mwanajeshi mkubwa mstaafu

Mimi nani

Yeye alindwe na mume wake ,wakwe zake na wewe
Inatosha Jaribu kuelewaa sijatumia lugha ngumu mkuu
 
Kwani ni Mtanzania?
 
Zidi ~Dhidi
 
Waroho wa Madaraka wapo wapi?
 
Tz tuna kenge wengi
 
Uasi......

Wanataka kuisigina KATIBA....ni dhambi......

Dhambi na laana kwa ardhi yetu tukufu ya Tanzania......

Rais ni Samia....

Rais ni Chifu mkuu Hangaya....

Jibebee laana ya ardhi kwa kumpinga kwa njia zozote zile....

Mimi ninajitenga na laana hiyo....

Nawe ujitenge pia.... waliberali wasikutoe katika mstari huo.....

#Katiba ya nchi ni msahafu mtakatifu wa JMT😍

#Tuko na Samia hadi 2030 ,aaamin 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…