Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson ashinde Urais wa IPU

Ule uamuzi alioufanya kuhusu DP World kwangu mimi bado sina amani na sitamuombea. Ajiombee mwenyewe.
Kazi iliyofanywa na bunge letu ndio ilitoa nafasi kwa serikali yetu kuja na mkataba mzuri wenye kujali na kuzingatia maslahi na usalama wa Taifa letu pamoja na uhuru wetu kama Taifa.
 
Kwani lini nilienda kanisani? Kuiba kura unalijua wewe, mimi nasema Tulia ni speaker makini that's not even up for debate anything else ni chuki binafsi and your fully entitled kubeba chuki. Ushindi ni lazima na huko mtasema kaiba kura.
Unajua hakushinda mbeya na sio mbunge wa mioyo yetu .mbunge sugu alipata 90% kuzidi wabunge wote uchaguzi ulofata akashinda huyu mbwa
 
Huko hamna poliCCM wala tume ya uchaguzi ya kuiba kura, apambane na hali yake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ngoja wakutibie kwanza ukipona natuma posa nikuoe naona ile kufiwa na mumeo imekusababishia hii sonona.
 
Unashindwa kuwaomba wazazi wako waliokuleta Duniani unajifanya xhizi bila aibu
 
Unajua hakushinda mbeya na sio mbunge wa mioyo yetu .mbunge sugu alipata 90% kuzidi wabunge wote uchaguzi ulofata akashinda huyu mbwa
Kwa kipimo cha aina yoyote ile,kwa mlinganisho wowote ule na kwa vigezo vya aina yoyote ile Sugu hana ubavu wala uwezo wala nguvu ya kuweza kumshinda au kumsumbua au kumpa upinzani Dr Tulia Acksoni katika Sanduku la kura.kwa sasa Mbeya imekabidhiwa Rasimi mikononi mwa Dr Tulia baada ya kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake. Kazi ya sugu ilikuwaga ni kuzurula tu kama mchunga ng'ombe anayetafuta malisho mazuri.

Katika miaka kumi ya sugu pale Mbeya mjini ni kama jimbo lilikuwa wazi maana hakuna kitu chochote kile alichokifanya sugu pale Mbeya,hakuna alama ya maendeleo yoyote ile aliyoweka sugu pale Mbeya mjini.hii ni kutokana na uwezo mdogo alionao sugu na kukosa upeo wa kiuongozi.

Lakini leo Mbeya mjini chini ya uongozi wa Dr Tulia inapendeza na kuchipuka kwa maendeleo kila kona ya jiji.kila sehemu utakakokwenda lazima ukutane na alama za Dr Tulia. ni kupitia Dr Tulia Mbeya sasa inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe kwa urefu wa km 237.9.

Hakuna mwana Mbeya aliye na akili Timamu anayeweza kumuunga mkono tena sugu.hata vichaa tu hawawezi kumpa kura sugu.
 
Huko hamna poliCCM wala tume ya uchaguzi ya kuiba kura, apambane na hali yake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mungu yupo upande wa Dr Tulia mpaka muda huu na ndio maana Anaendelea kupata uungwaji mkono kutoka kila kona ya Dunia.
 
Unaishi mbeya kweli???
 
pamoja na kuwa na elimu yake kubwa, lakini Mungu anabaki kuwa Mungu tu. Mungu anabaki kuwa ndiye muamuzi wa mwisho, ndiye mtoa uongozi na ndiye muonyesha njia.
Mungu ni mkubwa

Kama maamuzi huwa ni ya Mwenyezi Mungu, kwanini uwe na mashaka nayo.

'Eh Mwenyezi tuepushie'

"Mtegemee Bwana kwa moyo wako wote, wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe"

~Mithali
 
Itakuwa Laana kubwa sana kwa huyo Mama kushinda .

Mimi simuombei
 
Jiombee na wewe uteuliwe, kazi kuombea wenzako tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…