Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson ashinde Urais wa IPU

Unaponiachaga hoi ni kuweka mawasiliano yako, afu hata wa kuku beep hupatiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha hofu,acha uoga ,acha uongo .Dr Tulia ni mnyenyekevu na wala hana kiburi wala dharau licha ya madaraka yake makubwa aliyo nayo na aliyoyashika katika umri mdogo Tangia akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.
Kwenye hili Dr. Tulia ni mtu mwema sana na mnyenyekevu sana Hana kiburi Wala majivuno siku nimekutana naye akanisalimia
 
Itakuwa Laana kubwa sana kwa huyo Mama kushinda .

Mimi simuombei
Wewe najuwa huwezi kumuombea maana najuwa unapata homa kali sana ukilisikia tu jina la Dr Tulia .Najuwa hapa lazima uchanganyikiwe na unaweza lala Desderia usiku mzima kama umezilai vile. Na bado maana Dr Tulia ataendelea kukutetemesha mpaka ufe kwa presha mwaka huu.
 
Ameweka na namba ya simu hapo tumchangie chochote kitu ili aache njaa za kishamba.
 
Familia yake itamuombea, niache kujiombeaa Mimi ambaye bado nachumia juani nimuombee ambaye analia kivulini?
 
Ukiombea wewe yatosha.
Binafsi apambane na hali yake. Siku hizi wanasiasa kazi kusem a vijana
Dr Tulia ni msaada kwa vijana na amesaidia vijana wengi sana kujikwamua kiuchumi ,kwa kuwapatia mitaji ya pesa taslimu,bajaji na bodaboda bure kabisa.
 
Familia yake itamuombea, niache kujiombeaa Mimi ambaye bado nachumia juani nimuombee ambaye analia kivulini?
Dr Tulia aliwakuta vijana wengi sana wanakaa Juani pasipo mavuno ya aina yoyote ile lakini alipochaguliwa tu ubunge amewawezesha na sasa wana shughuli za kufanya na kujipatia kipato cha kila siku kwa ajili ya kuendesha maisha yao ya kila siku. Kwa ufupi ni kuwa maisha ya Dr Tulia yameleta neema kwa watu wengi sana mkoani Mbeya.
 
Mbona sasa wewe bado unadanga huku mitandaoni kama amewawezesha wajane?
 
Ni faida kwa Taifa letu zima, sauti zetu zitaendelea kusikika Duniani kwote, ni heshima kwa Taifa kuwa na uwakilishi huo wa ngazi ya juu kabisa, Tutaendelea kujenga na kujijengea ushawishi Duniani kwote kwa mambo mbalimbali.
AshaRose Migiro alikuwa UN nini tunaweza jivunia leo
 
Hao la Kaajuza, nani akaombee.
 
Hao la Kaajuza, nani akaombee.
Watanzania wenye akili Timamu na wenye kujitambua Tunaendelea kumuombea Dr Tulia kila siku.wenye chuki binafsi,wivu,roho mbaya,roho za kishetani aina yako ndio wanaweza andika kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…