Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Nilidhani Mgonjwa... Umenishtua sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hili Dr. Tulia ni mtu mwema sana na mnyenyekevu sana Hana kiburi Wala majivuno siku nimekutana naye akanisalimiaAcha hofu,acha uoga ,acha uongo .Dr Tulia ni mnyenyekevu na wala hana kiburi wala dharau licha ya madaraka yake makubwa aliyo nayo na aliyoyashika katika umri mdogo Tangia akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.
Atashinda tu kwa uweza wa mwenyezi MunguItakuwa Laana kubwa sana kwa huyo Mama kushinda .
Mimi simuombei
Acha roho mbaya, Umba na wewe mwenye sura nzuri. Acha kumkosoa MUNGU, hapo ulipo una uzuri gani wewe? Kwanza Tulia anakuzidi @ kituBora umuombee hata shetani asamehewe na MUNGU kuliko Tulia na sura yake mbaya
Wewe najuwa huwezi kumuombea maana najuwa unapata homa kali sana ukilisikia tu jina la Dr Tulia .Najuwa hapa lazima uchanganyikiwe na unaweza lala Desderia usiku mzima kama umezilai vile. Na bado maana Dr Tulia ataendelea kukutetemesha mpaka ufe kwa presha mwaka huu.Itakuwa Laana kubwa sana kwa huyo Mama kushinda .
Mimi simuombei
Kama umelala usingizi basi utakapoamka utakuta tayari Dr Tulia niNdoto
Dr Tulia ni msaada kwa vijana na amesaidia vijana wengi sana kujikwamua kiuchumi ,kwa kuwapatia mitaji ya pesa taslimu,bajaji na bodaboda bure kabisa.Ukiombea wewe yatosha.
Binafsi apambane na hali yake. Siku hizi wanasiasa kazi kusem a vijana
Dr Tulia aliwakuta vijana wengi sana wanakaa Juani pasipo mavuno ya aina yoyote ile lakini alipochaguliwa tu ubunge amewawezesha na sasa wana shughuli za kufanya na kujipatia kipato cha kila siku kwa ajili ya kuendesha maisha yao ya kila siku. Kwa ufupi ni kuwa maisha ya Dr Tulia yameleta neema kwa watu wengi sana mkoani Mbeya.Familia yake itamuombea, niache kujiombeaa Mimi ambaye bado nachumia juani nimuombee ambaye analia kivulini?
Huyo ni mjane anatafuta mume au hata danga.Unaponiachaga hoi ni kuweka mawasiliano yako, afu hata wa kuku beep hupatiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona sasa wewe bado unadanga huku mitandaoni kama amewawezesha wajane?Dr Tulia aliwakuta vijana wengi sana wanakaa Juani pasipo mavuno ya aina yoyote ile lakini alipochaguliwa tu ubunge amewawezesha na sasa wana shughuli za kufanya na kujipatia kipato cha kila siku kwa ajili ya kuendesha maisha yao ya kila siku. Kwa ufupi ni kuwa maisha ya Dr Tulia yameleta neema kwa watu wengi sana mkoani Mbeya.
AshaRose Migiro alikuwa UN nini tunaweza jivunia leoNi faida kwa Taifa letu zima, sauti zetu zitaendelea kusikika Duniani kwote, ni heshima kwa Taifa kuwa na uwakilishi huo wa ngazi ya juu kabisa, Tutaendelea kujenga na kujijengea ushawishi Duniani kwote kwa mambo mbalimbali.
Hao la Kaajuza, nani akaombee.Ndugu zangu Watanzania,
Pamoja na kwamba Dr Tulia ni mgombea mwenye sifa kubwa kuliko wagombea wenzake, anayeungwa mkono na jumuiya mbalimbali, anayepewa nafasi ya kuibuka mshindi kwa kishindo, pamoja na kuwa na elimu yake kubwa, lakini Mungu anabaki kuwa Mungu tu. Mungu anabaki kuwa ndiye muamuzi wa mwisho, ndiye mtoa uongozi na ndiye muonyesha njia.
Ndiye mchora ramani ya ushindi, ndiye anayeweza kufanya watu wakamchagua yeye na kuwaacha wengine, ndiye anayeweza kukupa kibali cha kukubalika na kupendwa mbele za watu, ndiye anayeweza kukupa ushindi, ndiye anayeweza kukushindia vita yako ambayo unaiona ni ngumu mbele zako na ikawa nyepesi na ndiye anayeweza kugeuza mioyo ya watu ikakukubali wewe tu.
Ndio maana mimi binafsi kwa kutambua uwezo wa Mwenyezi Mungu katika kila jambo, nimeona na kuwiwa moyo wangu kwa unyenyekevu mkubwa sana kuwaombeni Watanzania wenzangu kwa umoja wetu tupige magoti Tumuombee Dr Tulia Ashinde vita hii ambayo ipo mbele yake ya kuwania nafasi ya Urais wa umoja wa mabunge Duniani. Inawezekana kwa namna moja au nyingine kuna watu Ambao wangekataa kumuombea Dr Tulia kwa sababu za kisiasa au kupishana kwa hali ya kawaida tu ya kibinadamu.
Lakini ningependa kusema neno moja kuwa Dr Tulia ni mwanadamu kama sisi, kama mimi na wewe au wewe na yule. Hajakamilika na hakuna mwanadamu aliyekamilika chini ya jua, hakuna aliye mtakatifu, hakuna asiye kosea, hakuna ambaye hajawahi kosea, hakuna ambaye hakosei. Kwa hali hiyo hata Dr Tulia kuna uwezekano kuna watu amewakosea, amewakwaza, amewaudhi na kuwaumiza kwa namna moja au nyingine kwa maamuzi, matendo, au kauli. Hayo ni mambo ya kawaida kwa mwanadamu na hatuna budi kusameheana.
Jiulize wewe ulipo hapo umewakosea wangapi? Umewakwaza wangapi? Umewaliza machozi wangapi kwa bahati mbaya? Umesamehewa na Mungu wako mara ngapi? Vipi kama kila kosa ungehukumiwa na kupunguziwa hazina ya miaka yako ya kuishi hapa Duniani au pumzi yako katika mtungi wako binafsi? Nani angesalimika? Nani hazina yake ya miaka ingekuwa palepale? Je Dr Tulia siyo mwanadamu? Hakosei? Kwanini tusimsamehe alipotukosea? Kwanini tusizike tofauti zetu na kuungana kama Taifa kimaombi kumuombea kwa Mungu ushindi Dr Tulia ili Mungu amshindie vita hii na kumpa kibali cha Ushindi?
Akishinda Dr Tulia Taifa limeshinda, Watanzania tunakuwa tumeshinda na sote tutakuwa ni washindi. Binafsi namuombea sana huyu Dada yangu. Nitafurahi sana Taifa letu likishinda nafasi hii kupitia Dr Tulia. Kila mmoja kwa imani yake tuendelee kumuombea sana Dr Tulia. Tuweke pembeni tofauti zetu za kisiasa na kusimama pamoja na Dr Tulia kwa kuwa anawakilisha Taifa letu na siyo chama.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Watanzania wenye akili Timamu na wenye kujitambua Tunaendelea kumuombea Dr Tulia kila siku.wenye chuki binafsi,wivu,roho mbaya,roho za kishetani aina yako ndio wanaweza andika kama wewe.Hao la Kaajuza, nani akaombee.
🤣🤣🤣Hili chawa linakera sana