Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

The cat fight over here is an incredible experience of the Rift in Tanzania.
 
FDI (Foreign direct investment) nitajie moja Mkuu,,,😎
Kwanza unajua maana ya FDI? Ndiyo maana nimekueleza usikurupuke vitu usivyovijua. Ntakutajia vipi wakati hujui hata maana ya FDI. Kwa kifupi nimekueleza kwamba acha kukurupuka na kushabikia vitu usivyovijua. Jifunze kwanza maana ya FDI kisha uje. Kenya anasoma namba, sisi tunasonga mbele.
Anza na mambo haya hapa:



Tanzania leads regional peers in foreign direct investment
 

Huyu aliyeko ikulu wala HANA shida yoyote acheni kumuonea.
Ngoja nikurudishe kwenye historia. Unajuwa baada ya uhuru Tanzania ilikuwa na misingi IMARA SANA ya UONGOZI iliyojengeka juu ya katiba ya CCM na AZIMIO LAZIMA ARUSHA. AZIMIO la ARUSHA lilikuwa na misingi ya UTU, MIIKO YA UONGOZI na mengine mengi mazuri. Ilitoa muongozo wa kuiendeleza NCHI. Lkn baadaye tukavurugwa, AZIMIO la ARUSHA likatupiliwa mbali na kuanzisha AZIMIO la ZANZIBAR ambalo kimsingi wala hatujui nini kiliandikwa humo. Huo ndiyo uliokuwa mwanzo wa kukosa muelekeo ambao mpaka SASA unatusumbua. Hivyo JPM HANA kosa lolote. Msingi wa NCHI ulivurugwa zamani kabla pengine ya wewe kuzaliwa.
 
Mkuu nimesoma hii link yako,hii ni habari kama habari nyengine yoyote,bado hujajibu swali langu,nimepe mfano mmoja wa FDI hapa Tanzania..!!

FDI za Kenya ndio hizo hapo tumeona vipi makampuni ya nchi yanavyowekeza Kenya kwa kufungua Viwanda vya "Asamble Plant",...

Serikali inaweza kuwa na bajet kubwa ya FDI lakini asije hata mwekezaji mmoja kuja kuwekeza,...weka mfano mmoja wa Foreign direct investment (FDI)ambayo imewapatia kazi watanzania na kuinufanisha Tanzania,achana na kampuni za madini

Acha porojo na kujifanya kuleta dharau mtu usiemjua,weka mfano FDI watanzania tupate kujua
 

Moja wapo ni kiwanda cha saruji cha Dangote.
Lingine FDI haziwekwi kwenye bajeti. Hizo zinakuwa accounted for in the GDP equation.
 
Hawa bawacha bwana yani wao kila kitu siasa sasa hatujui wanataka nini.

Tanzania ikijenga reli wanasema watu hawali reli wanasema watu hawali reli akinunua ndege walia harafu wanasifia kenya
 
Rafiki mwenzangu nakuona hujui chochote kitu. Vitu walivyoviweka hapo ni mipango rafiki. Hakuna kiwanda cha aina hiyo kilichopo huko Kenya. Hata sisi mipango ipo mingi tu.
Kwa maana hiyo mfano unaotaka kuutumia kwa kenya is nonsense maaana hakuna investment yoyote iliyofanyika hapo kenya. Ni makaratasi tu.

Pili: Nimekueleza usiwe unakurupuka kupiga kelele kwenye mitandao vitu usivyovijua.
Idadi ya investment ni kubwa mno na huwezi ukaweka orodha. Na kama hiyo habari huiamini sasa unataka uamini kitu gani yaani unataka nianze kukuwekea orodha hapa? Nikuwekee orodha ya kutengeneza magari?

Okay ngoja nikusaidie kitu kidogo tu:
Soma hapa viwanda vilivyopo pwani:

http://www.pwani.go.tz/storage/app/uploads/public/58d/a0f/987/58da0f9877ad3735577342.pdf

Mtwara:
Kiwanda cha Saruji cha Dangote


Tanga:


Bado bomba la mafuta kiutoka Hoima kwenda tanga



Nimekupatia mifano michache. Kila mkoa Tanzania kuna big investment

Soma hapa chini upate mchanganuo
Foreign investment in Tanzania - Santandertrade.com
 

Leo hamna haja ya kununua Omo. Povu limekutoka linaweza fua nguo zako na za Mbagala nzima.
 
Umesahau saluni za kunyoa nywele
Karakana zimegeuzwa viwanda ili mradi waonekane wanajenga viwanda...ukiuliza ni wapi wameandika document inayoonyesha idadi ya viwanda na njia wanayopita kuhakikisha viwanda vinakuwepo (UTAAMBIWA UMETUMWA)
 


Mtanzania mwenye akili huyu.
 
Hawa bawacha bwana yani wao kila kitu siasa sasa hatujui wanataka nini.

Tanzania ikijenga reli wanasema watu hawali reli wanasema watu hawali reli akinunua ndege walia harafu wanasifia kenya
Hawa wenzetu wanatumiwa na adui wa nchi yetu. Wengine wanatumiwa bila kujua.
 
Leo hamna haja ya kununua Omo. Povu limekutoka linaweza fua nguo zako na za Mbagala nzima.
Hahaha yaani mimi nitoke povu kwa vijana wasio jielewa. Ninachokifanya ni kuwafundisha tu ili siku zingine wasikurupuke.
I have a lot of information including your country.
 
Moja wapo ni kiwanda cha saruji cha Dangote.
Lingine FDI haziwekwi kwenye bajeti. Hizo zinakuwa accounted for in the GDP equation.
Dangote aliionya serikali ya Magufuli kwenye mipango yake mibovu ya uwekezaji,what ever is your story,..

Bad investment policy,unstable political tensions in Tanzania has failed the foreign companies to invest in the country..May in the beginning the foreign companies has an intention to invent in Tanzania,but not anymore,mark my word..

Muweka uzi kaweka zaidi ya "FDI" tano ambazo zimewekeza Kenya,wewe umekuja na mfano wa kiwanda kimoja cha saruji cha Dangote ambacho hakifanyika kazi vizuri kinavyotakiwa...halafu unataka kuniambia kuwa Tanzania iko vizuri katika uwezekezaji wa kampuni kutoka nje(FDI)..

Unajikuna unajikesha,unainama unainuka....😀
 
Tanzania investors wataongea nanyi lugha ipi?Si mtapigwa chenga kwenye drafting contracts hohoho,manake kiingereza kimeshawapiga chenga,huku kenya tumejanjaruka kwa ukwasi wa kujua kila neno la kiingereza na pia tuna ujanja mwingi kupindukia!
U idiot Tanzanian they have better and tremendously English than you ass hole
 
Hahaha yaani mimi nitoke povu kwa vijana wasio jielewa. Ninachokifanya ni kuwafundisha tu ili siku zingine wasikurupuke.
I have a lot of information including your country.


Information uchwara. Tokwa povu buda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…