Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Gas matirilioni ya Lita za ujazo imekuwaje tena?Dah balaa wapo vizur
Nahisi bongo tatizo nishat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gas matirilioni ya Lita za ujazo imekuwaje tena?Dah balaa wapo vizur
Nahisi bongo tatizo nishat
Kwanza unajua maana ya FDI? Ndiyo maana nimekueleza usikurupuke vitu usivyovijua. Ntakutajia vipi wakati hujui hata maana ya FDI. Kwa kifupi nimekueleza kwamba acha kukurupuka na kushabikia vitu usivyovijua. Jifunze kwanza maana ya FDI kisha uje. Kenya anasoma namba, sisi tunasonga mbele.FDI (Foreign direct investment) nitajie moja Mkuu,,,😎
Zinacome sato? Acha jokes sisteh! 😀Quinine tuna bombardier 3 zitaleta sato kutoka Chato
Its smoking my friend!The cat fight over here is an incredible experience of the Rift in Tanzania.
Mimi siongelei CCM ya Nyerere. Ninaongelea post-Nyerere CCM. Hii ndiyo kansa ya taifa letu.
Umesema vizuri kuhusu China. Hivi unajua China na Tanzania zilikuwa kwenye viwango sawa vya umaskini in the 1950-1970s? Lakini leo hii, China inaisaidia Tanzania, huku Tanzania ikiendelea kuwa maskini.
Walioshiriki kuivuruga nchi hii, mmoja ndiyo yupo Ikulu leo, huku wengine tukiambiwa tuwaache kuwasema. Halafu mtu unakuwa shabiki wa CCM na viongozi wake.
Mmetoa tax holiday 15-20 years!Mtu akishashindwa kudebate anaanzaga kufukiria hivi. Pole sana
Mkuu nimesoma hii link yako,hii ni habari kama habari nyengine yoyote,bado hujajibu swali langu,nimepe mfano mmoja wa FDI hapa Tanzania..!!Kwanza unajua maana ya FDI? Ndiyo maana nimekueleza usikurupuke vitu usivyovijua. Ntakutajia vipi wakati hujui hata maana ya FDI. Kwa kifupi nimekueleza kwamba acha kukurupuka na kushabikia vitu usivyovijua. Jifunze kwanza maana ya FDI kisha uje. Kenya anasoma namba, sisi tunasonga mbele.
Anza na mambo haya hapa:
View attachment 738252
Tanzania leads regional peers in foreign direct investment
Sema wallahi! 😀😀😀 Wewe mzee utakufa na stress bure. Don't worry, be happy!Mmetoa tax holiday 15-20 years!
Mkuu nimesoma hii link yako,hii ni habari kama habari nyengine yoyote,bado hujajibu swali langu,nimepe mfano mmoja wa FDI hapa Tanzania..!!
FDI za Kenya ndio hizo hapo tumeona vipi makampuni ya nchi yanavyowekeza Kenya kwa kufungua Viwanda vya "Asamble Plant",...
Serikali inaweza kuwa na bajet kubwa ya FDI lakini asije hata mwekezaji mmoja kuja kuwekeza,...weka mfano mmoja wa Foreign direct investment (FDI)ambayo imewapatia kazi watanzania na kuinufanisha Tanzania,achana na kampuni za madini
Acha porojo na kujifanya kuleta dharau mtu usiemjua,weka mfano FDI watanzania tupate kujua
Hawa bawacha bwana yani wao kila kitu siasa sasa hatujui wanataka nini.Ndiyo mambo haya sasa ya kukurupuka tu bila kufanya utafiti. Hivi wewe maneno ya kusema wawekezaji hawaiamini Tanzania umeyatoa wapi?
Watafiti wa kimataifa wameeleza tanzania inaongoza kwenye FDI (Foreign direct investment) Hapa East Africa.
Sasa wewe kajamba nani umekaa kwenye kochi la shemeji yako ukisubiri dada yako alete msosi ule utajulia wapi?
Rafiki mwenzangu nakuona hujui chochote kitu. Vitu walivyoviweka hapo ni mipango rafiki. Hakuna kiwanda cha aina hiyo kilichopo huko Kenya. Hata sisi mipango ipo mingi tu.Mkuu nimesoma hii link yako,hii ni habari kama habari nyengine yoyote,bado hujajibu swali langu,nimepe mfano mmoja wa FDI hapa Tanzania..!!
FDI za Kenya ndio hizo hapo tumeona vipi makampuni ya nchi yanavyowekeza Kenya kwa kufungua Viwanda vya "Asamble Plant",...
Serikali inaweza kuwa na bajet kubwa ya FDI lakini asije hata mwekezaji mmoja kuja kuwekeza,...weka mfano mmoja wa Foreign direct investment (FDI)ambayo imewapatia kazi watanzania na kuinufanisha Tanzania,achana na kampuni za madini
Acha porojo na kujifanya kuleta dharau mtu usiemjua,weka mfano watanzania tupate kujua
Kwanza unajua maana ya FDI? Ndiyo maana nimekueleza usikurupuke vitu usivyovijua. Ntakutajia vipi wakati hujui hata maana ya FDI. Kwa kifupi nimekueleza kwamba acha kukurupuka na kushabikia vitu usivyovijua. Jifunze kwanza maana ya FDI kisha uje. Kenya anasoma namba, sisi tunasonga mbele.
Anza na mambo haya hapa:
View attachment 738252
Tanzania leads regional peers in foreign direct investment
Karakana zimegeuzwa viwanda ili mradi waonekane wanajenga viwanda...ukiuliza ni wapi wameandika document inayoonyesha idadi ya viwanda na njia wanayopita kuhakikisha viwanda vinakuwepo (UTAAMBIWA UMETUMWA)Umesahau saluni za kunyoa nywele
Mkuu nimesoma hii link yako,hii ni habari kama habari nyengine yoyote,bado hujajibu swali langu,nimepe mfano mmoja wa FDI hapa Tanzania..!!
FDI za Kenya ndio hizo hapo tumeona vipi makampuni ya nchi yanavyowekeza Kenya kwa kufungua Viwanda vya "Asamble Plant",...
Serikali inaweza kuwa na bajet kubwa ya FDI lakini asije hata mwekezaji mmoja kuja kuwekeza,...weka mfano mmoja wa Foreign direct investment (FDI)ambayo imewapatia kazi watanzania na kuinufanisha Tanzania,achana na kampuni za madini
Acha porojo na kujifanya kuleta dharau mtu usiemjua,weka mfano FDI watanzania tupate kujua
Hawa wenzetu wanatumiwa na adui wa nchi yetu. Wengine wanatumiwa bila kujua.Hawa bawacha bwana yani wao kila kitu siasa sasa hatujui wanataka nini.
Tanzania ikijenga reli wanasema watu hawali reli wanasema watu hawali reli akinunua ndege walia harafu wanasifia kenya
Hahaha yaani mimi nitoke povu kwa vijana wasio jielewa. Ninachokifanya ni kuwafundisha tu ili siku zingine wasikurupuke.Leo hamna haja ya kununua Omo. Povu limekutoka linaweza fua nguo zako na za Mbagala nzima.
Dangote aliionya serikali ya Magufuli kwenye mipango yake mibovu ya uwekezaji,what ever is your story,..Moja wapo ni kiwanda cha saruji cha Dangote.
Lingine FDI haziwekwi kwenye bajeti. Hizo zinakuwa accounted for in the GDP equation.
U idiot Tanzanian they have better and tremendously English than you ass holeTanzania investors wataongea nanyi lugha ipi?Si mtapigwa chenga kwenye drafting contracts hohoho,manake kiingereza kimeshawapiga chenga,huku kenya tumejanjaruka kwa ukwasi wa kujua kila neno la kiingereza na pia tuna ujanja mwingi kupindukia!
Hahaha yaani mimi nitoke povu kwa vijana wasio jielewa. Ninachokifanya ni kuwafundisha tu ili siku zingine wasikurupuke.
I have a lot of information including your country.