Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

Dangote aliionya serikali ya Magufuli kwenye mipango yake mibovu ya uwekezaji,what ever is your story,..

Bad investment policy,unstable political tensions in Tanzania has failed the foreign companies to invest in the country..May in the beginning the foreign companies has an intention to invent in Tanzania,but not anymore,mark my word..

Muweka uzi kaweka zaidi ya "FDI" tano ambazo zimewekeza Kenya,wewe umekuja na mfano wa kiwanda kimoja cha saruji cha Dangote ambacho hakifanyika kazi vizuri kinavyotakiwa...halafu unataka kuniambia kuwa Tanzania iko vizuri katika uwezekezaji wa kampuni kutoka nje(FDI)..

Unajikuna unajikesha,unainama unainuka....😀

Waelimishe. Tuliwaeleza wanaona kama wivu.
 
Information uchwara. Tokwa povu buda.
Kwikwikwikwikwi. Kenya tunaijua is a most corrupt country in Africa

Kenya ni nchi hatari sana duniani.
Tanzania ni nchi ya amani. Yaani wakenya mnatamani sana tufanane na nyie. Kila kukicha mnatuchafua. Our country is very stable my friend. Hamtafanikiwa kwa lolote.

GPI_2017.jpg
 
Tanzania investors wataongea nanyi lugha ipi?Si mtapigwa chenga kwenye drafting contracts hohoho,manake kiingereza kimeshawapiga chenga,huku kenya tumejanjaruka kwa ukwasi wa kujua kila neno la kiingereza na pia tuna ujanja mwingi kupindukia!
idiot@ Tanzanian have better and tremendously English than you ass hole
 
Dangote aliionya serikali ya Magufuli kwenye mipango yake mibovu ya uwekezaji,what ever is your story,..

Bad investment policy,unstable political tensions in Tanzania has failed the foreign companies to invest in the country..May in the beginning the foreign companies has an intention to invent in Tanzania,but not anymore,mark my word..

Muweka uzi kaweka zaidi ya "FDI" tano ambazo zimewekeza Kenya,wewe umekuja na mfano wa kiwanda kimoja cha saruji cha Dangote ambacho hakifanyika kazi vizuri kinavyotakiwa...halafu unataka kuniambia kuwa Tanzania iko vizuri katika uwezekezaji wa kampuni kutoka nje(FDI)..

Unajikuna unajikesha,unainama unainuka....😀
Hivi wewe unajua hata maana ya FDI? Au hapa unaropoka tu na kutoa mapovu kama kichaa?
 
Hawa wenzetu wanatumiwa na adui wa nchi yetu. Wengine wanatumiwa bila kujua.
Japo mimi ni muumini wa siasa za vyama vingi na demokrasia lakini sio za hawa jamaa.

Kwa siasa za hawa jamaa washa declare kuwa ni maadui wa taifa hili
 
Mkuu nimesoma hii link yako,hii ni habari kama habari nyengine yoyote,bado hujajibu swali langu,nimepe mfano mmoja wa FDI hapa Tanzania..!!

FDI za Kenya ndio hizo hapo tumeona vipi makampuni ya nchi yanavyowekeza Kenya kwa kufungua Viwanda vya "Asamble Plant",...

Serikali inaweza kuwa na bajet kubwa ya FDI lakini asije hata mwekezaji mmoja kuja kuwekeza,...weka mfano mmoja wa Foreign direct investment (FDI)ambayo imewapatia kazi watanzania na kuinufanisha Tanzania,achana na kampuni za madini

Acha porojo na kujifanya kuleta dharau mtu usiemjua,weka mfano FDI watanzania tupate kujua
1. Kiwanda cha Goodwill cha ceramic cha vigae. Largest ceramia factory in East Africa.
2. Kiwanda cha TwyFord cha ceramic cha vigae Chalinze
3. Kiwila steel cha chuma and largest in East Africa.
4. Kiwanda cha kleesoft cha detergents Chalinze
5. Kiwanda cha Vegea. Viwanda ni vingi sana
 
Japo mimi ni muumini wa siasa za vyama vingi na demokrasia lakini sio za hawa jamaa.

Kwa siasa za hawa jamaa washa declare kuwa ni maadui wa taifa hili
Yaani siasa hazina hata mwelekeo, lengo ni kuharibu taifa letu. Hawana lolote na tumeshawashitukia we are dealing with them seriously.
 
DEFINITION YA KIWANDA TANZANIA NA KENYA NI TOFAUTI SANA.... huku nchi ya JIWE hata cherehani na blenda ya kukamulia juisi ukimiliki basi jua unamiliki kiwanda

Mnabeza jitihada za KUJENGA uchumi na kulinda raslimali. Ukienda HATA China nguo nyingi zinashonwa na viwanda vidogo vidogo vyenye Cherehani less than 10. Kule wenyewe wakisema wana skilled labour hawamaanishi engineers au lawyers etc bali wanamaanisha umati mkubwa wa WATU waliokwenda trade school. Hawa ni watu wenye elimu ya wastani lkn waliopitia mafunzo kama ya veta kujifunza stadi za kazi mahsusi kama ushonaji, selemara, ujenzi wa nyumba n.k. pia hupewa elimu ya ziada ya ujasiliamali na masoko pia utunzaji wa fedha (accounts). Hii imesaidia SANA kukuza uchumi wa China. HATA sisi tukifanya hivyo tutasonga mbele.
 
Be attentive in class. Kuwa makini utoe ujinga.
Huwezi ukachungulia tundu la choo utegemee kupata harufu ya manukato. Huyo anatoa uozo, kichwa chake ni empty.
We are aware on what is going on in this world. Wakenya mnajiendea endea tu, Mara Mozambique, mara zambia. We are watching you...
 
Rafiki mwenzangu nakuona hujui chochote kitu. Vitu walivyoviweka hapo ni mipango rafiki. Hakuna kiwanda cha aina hiyo kilichopo huko Kenya. Hata sisi mipango ipo mingi tu.
Kwa maana hiyo mfano unaotaka kuutumia kwa kenya is nonsense maaana hakuna investment yoyote iliyofanyika hapo kenya. Ni makaratasi tu.

Pili: Nimekueleza usiwe unakurupuka kupiga kelele kwenye mitandao vitu usivyovijua.
Idadi ya investment ni kubwa mno na huwezi ukaweka orodha. Na kama hiyo habari huiamini sasa unataka uamini kitu gani yaani unataka nianze kukuwekea orodha hapa? Nikuwekee orodha ya kutengeneza magari?

Okay ngoja nikusaidie kitu kidogo tu:
Soma hapa viwanda vilivyopo pwani:

http://www.pwani.go.tz/storage/app/uploads/public/58d/a0f/987/58da0f9877ad3735577342.pdf

Mtwara:
Kiwanda cha Saruji cha Dangote
View attachment 738283

Tanga:
View attachment 738284

Bado bomba la mafuta kiutoka Hoima kwenda tanga

Nimekupatia mifano michache. Kila mkoa Tanzania kuna big investment

Soma hapa chini upate mchanganuo
Foreign investment in Tanzania - Santandertrade.com
Mkuu mimi kweli ni mjinga, lakini bado naona nakusikia,katika hizo link yako hizo zote "proposal" tu,kama unajua maana "proposal",kiwanda kinachofanya kazi ni kimoja tu cha Dangote nacho kina matatizo ya uendeshaji..mara gesi hivi mara gesi vile

Link yako ya pili hivyo sio viwanda vya " foreign direct Investment's",sasa Bakharesa nae kawa katika mkumbo wa "FDI"...mbona unaanza kunitiia wasi wasi mkuu😀
 
Huwezi ukachungulia tundu la choo utegemee kupata harufu ya manukato. Huyo anatoa uozo, kichwa chake ni empty.
We are aware on what is going on in this world. Wakenya mnajiendea endea tu, Mara Mozambique, mara zambia. We are watching you...

Kuwa mjinga sii ujinga. Ujinga ni kutokubali wewe mjinga huku mambo inaonekana wazi. Jikubali utolewe ujinga aisee.
 
Lakini bado unaishi 'dunia' nyingine, tofauti na ninayoishi.

Kweli kabisa. Ndiyo maana nakuona upo delusional. Kutofautiana mitazamo hakuna shida. Ila mtu akiwa delusional, kama mlivyo pro-Magufuli na pro-CCM government, basi ni tatizo. Huu ni mtazamo wangu tu.

Dude, if you don't see them PROBLEMS (and not challenges as you say), then you are proving my above point.
Bruv, CCM has RULED this country since Uhuru. And for 56+ years, I have seen nothing but absolute poverty, miseries, crooks and corrupt politicians ripping off our country. Now, we are even in the worst case, under this maniac of a president. But, some people like you, see this cuckoo as messiah!!!

But, hey, if you are rolling with them crook CCM politicians, you can definitely see A LOT OF OPPORTUNITIES. As bunch of you are just OPPORTUNISTS. Riding with any of the CCM crooks when they are in power. Way to go bruv.
You're just a negative government hater. Your choice of words leaves you naked.
You blaming ccm, but you do not see Tz opposition faults. You'll forever blame them till death does you apart and ccm will forever be there, if you do not clean your dirty political party you think are perfect, they're worse, and we know.
 
Dangote aliionya serikali ya Magufuli kwenye mipango yake mibovu ya uwekezaji,what ever is your story,..

Bad investment policy,unstable political tensions in Tanzania has failed the foreign companies to invest in the country..May in the beginning the foreign companies has an intention to invent in Tanzania,but not anymore,mark my word..

Muweka uzi kaweka zaidi ya "FDI" tano ambazo zimewekeza Kenya,wewe umekuja na mfano wa kiwanda kimoja cha saruji cha Dangote ambacho hakifanyika kazi vizuri kinavyotakiwa...halafu unataka kuniambia kuwa Tanzania iko vizuri katika uwezekezaji wa kampuni kutoka nje(FDI)..

Unajikuna unajikesha,unainama unainuka....😀

Embu twende polepole acha povu.
Vile viwanda vya kuunganisha magari Kenya vimeanza kufanya KAZI au mipango?

Hivi unaelewa the real meaning of FDI? MAANA unatilia SHAKA kuhusu FDI ya Dangote cement AMBAYO ni pure and straight monies FROM outside the country's boundaries. Na ukiangalia viwanda vyote vya kuunganisha magari thamani yake haizidi kiwanda cha Dangote.
 
Mkuu mimi kweli ni mjinga lakini badi naona nakusikia,katika hizo link yako hizo zote "proposal" tu,kama unajua maana "proposal",kiwanda kinachofanya kazi ni kimoja tu cha Dangote nacho kina matatizo ya uendeshaji..mara gesi hivi mara gesi vile

Link yako ya pili hivyo sio viwanda vya " foreign direct Investment's",sasa Bakharesa nae kawa katika mkumbo wa "FDI"...mbona unaanza kunitiia wasi wasi mkuu😀
Nimekueleza wewe ni empty kichwani.
Nimekueleza kama unataka kulinganisha Tanzania na kenya kwa level ya investment unatakiwa ufanye uchunguzi.
Nimekupata FDI (Hii imefanya na UN) Unaleta upuuzi tu.
Nimekuwekea link ya viwanda vilivyoko pwani. Vimejengwa wakati wa Magufuli.
Tembea uone ndugu acha kujifungia na kuanza kuropoka kwenye mitandao
Pwani:

1. Maweni Limestone Ltd-Kisemvule
2. Unifly Corporation Ltd-Dundani
3. Blanket&Textile Manufacturing Co.Ltd-Kiguza
4. Knauf Gypsum Ltd-Kisemvule
5. China Goldrich -Shungubweni
6. Mass Plastic Ltd - Mwanambaya
7. East Star Co.Ltd - Dundani
8. Goodwili Tanzania Ceramics Co.Ltd
9. Kilua Steel Co. Ltd
10. Kisarawe Cement Company
11. Prayosha Industries Company
12. Yuko’s Enterprises East Africa Limited.

Hapa nimekupa viwanda vichache tu mkoa wa pwani. Vyote hivyo vinafanya kazi mpaka leo hii na vimejengwa awamu hii ya tano.
 
Back
Top Bottom