Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

Mnalalamika umeme wakati mpo kwenye chombo cha kutumia umeme mnapoandika ujumbe wenu, au mpo nje ya Tanzania?
 
Umemaliza
 

Kwa kweli
 
CCM wanaamini Bei ya juu ya sukari inawaadhiri Wana chadema tu lkn pia wanaamini wakikata umeme Ni nyumba za Wana chadema tu ndio Zina kisa furaha. Miccm yenyewe ilishazowea shida, tabu na karaha.
 
Umeongea kwa uchungu sana!
Tanesco ni dhahiri wameamua kuwadhihaki watz .
Leo watakuja na sababu ya maji kesho matengenezo.
Kweli 2024 bado tunaendelea kusumbuliwa na umeme? Tatizo ni nini hasa? Viongozi wanaingia na kutoka hakuna anayetitoa muhanga kumaliza tatizo kisha inakua tatizo endelevu.
Kusema kweli ni jambo linalokera na kuumiza unapolijadili ..nini Kina miss kumaliza tatizo hili sugu katika nchi ya watu Mil 60?
 
Wanatudharau wanaona hatuwezi kuwafanya lolote.

Tanesco ni ahamba la bibi wanajipigia tu
 
Mkuu umenigusa, Mimi Nina butcher la samaki na kuku mzigo umeingia saa 18:13 pm umeme haukuwepo na Hadi Sasa hivi saa 21:17pm umeme haujarudi.

Mapigo ya moyo yanadunda, nimemaliza chuo nikachichanga kufungua biashara afu serikali inashindwa hata kutupa huduma ya umeme? Wanataka tukajiunge na Alshabab? Ndo maana yake sasa kama ajira hawatupi na umeme wanatukatia na kutupa harasa lengo lao ni nini?

Nina uchungu sana na hawa watawala, utulivu wetu unawapa amani, napata hasira mpaka nafika mbali. Kama hawezi kuongoza nchi si apishe? Mbona JPM aliweza kutupa umeme 24hrs

 

Attachments

  • IMG-20240124-WA0003.jpg
    51.4 KB · Views: 2
CCM wanaamini Bei ya juu ya sukari inawaadhiri Wana chadema tu lkn pia wanaamini wakikata umeme Ni nyumba za Wana chadema tu ndio Zina kisa furaha. Miccm yenyewe ilishazowea shida, tabu na karaha.
Tunatukanwa kwa vitendo
 
Pole mkuu hatuna viongozi tuna vibaka tu wanabaka hazina
 
Kalemani nitumie namba yako, nikurushie wekundu wawili!
 
Shangingi LA kizimkazi lipo bize na Mambo ya yanga na Simba, nchi Ina watu wa hovyo,akili kichwani hakuna, wezi, kuendesha kivuko na mwendokasi, tumeshindwa kabisa, vyuo vyote tulivyonavyo! Tumeshindwa kuweka watu wa kuendesha mradi wa mwendokasi!
Ilisemwa tangu karne,serikaki haitakiwi ifanye biashsra! Maana kutakuwa na wizi! Serikali zenye akili kubwa ndio zinaweza kufanya biashsra,
South Africa MTN, sie li TTCL letu limebski mifupa, Ila bado kuna kenge wanakula salio!TOTAL ni ya serikali ya ufaransa,
Hii mwendokasi, apewe mwekezaji, kama tulivyoachana na maduka ya ushirika, na NMC(national milling corporation), kwa wale wadogo, mjue ya kwamba miaka ya 90! Tulikuwa tunanunua sukari, unga kwa foleni kutoka maduka ya serikali! Ilikuwa marufuku duka binafsi kuuza hizo bidhaa,kwa Dar, tulikuwa tuna subiri gari itoke ubungo mataa, tunakuwa tumekusanyika Riverside!
 
Hiyo ni picha ya jiongozi yupo anayeendesha nchi nyuma yake
 
Nchi inaongozwa na majitu yenye mtindo wa ubongo mnategemea nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…