Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM hawatoboi kwa njia hiyoNjia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi.
Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane.
Hili halihitaji Azimio la Bunge wala Mswada wowote wa Sheria.
Wananchi tukiamua na kushinikiza, hili linawezekana kufanyika kwenye Uchaguzi Mkuu Novemba mwaka huu 2025
Tushughulike nao vizuri snHiyo nk kweli, hawa wanatufanya kama hatujitambui. Sasa ni wakati wa kupaza sauti kwa ajili sisi wenyewe wananchi. Ukiona mzee mzima anapiga kelele na kutoa matusi ujue hali si nzuri.
Tuanze naye huyu huyu Madame President SSH.Kura za Samia,nyie angaikeni na ubunge
Tukiamua, kwa wingi wetu sisi Wapiga Kura, asiyetaka atalazimika kutaka.Hatakiwi kuombwa bali kuambiwa.
Shinikizo la sauti zetu zitawalazimisha kukubali.CCM majizi hayawezi kukubali kamwe
Idadi kubwa ya Wapiga Kura ni wale wasio na Chama chochote.CCM Wenyewe Kila Kitu
Mama Mama Mama Mama Mama Mama Mama
Mungu akubariki sana.Naunga mkono hoja
Kanuni zinasema Matokeo yabandikwe nje ya Kituo cha Kupigia Kura.Wazo zuri hao wasimamizi hawana mamlaka ya kutangaza matokeo kwasababu eti wana akili za kusimamia upigaji kura na kuzihesabu lakini za kutangaza matokeo huwa hawana
Utaratibu wa CCM yenyewe unakiukwa huku Wajumbe wakipumbazwa na Wasanii.Angalia mkutano mkuu wa CCM ndiyo utajua hiyo haiwezekani.
Wapiga Kura tumejisahau kwa kipindi kirefu sana.Hiyo nk kweli, hawa wanatufanya kama hatujitambui. Sasa ni wakati wa kupaza sauti kwa ajili sisi wenyewe wananchi. Ukiona mzee mzima anapiga kelele na kutoa matusi ujue hali si nzuri.
Ameliamsha dude, mimi nimekuwa nafuatilia kwa karibu kuhusu kuhoji tatizo la kuhoji linaanza kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukivihoji utaambiwa kama umekuwa ondoka hii tabia ya kukata ama kuwaziba watu midomo inabebwa kwenye ngazi zote za maisha kumbuka Kuna wadau walihoji kuhusu tozo za kwenye simu waliambiwa kama hawataki kuzilipa waende burundiHiyo nk kweli, hawa wanatufanya kama hatujitambui. Sasa ni wakati wa kupaza sauti kwa ajili sisi wenyewe wananchi. Ukiona mzee mzima anapiga kelele na kutoa matusi ujue hali si nzuri.
Mkuu Benjamin Netanyahu, tusaidiane tupaze sauti.CCM hawatoboi kwa njia hiyo
Ndiyo maana ya uchaguzi wa haki na huru lakini chaguzi zetu zinaendeshwa na wapumbavu, upumbavu ni kipaji, mpambu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi, anajizima dataKanuni zinasema Matokeo yabandikwe nje ya Kituo cha Kupigia Kura.
Tafsiri yake ni kwamba Wasimamizi wanayo Mamlaka ya kutangaza Matokeo.
Tukipaza Sauti zetu zetu, Haki itatendeka.
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Tushikamane, ili hawa tunaopigia Kura zetu, watuheshimu.Tushughulike nao vizuri sn
Uko sahihi Benny Haraba.Ndiyo maana ya uchaguzi wa haki na huru lakini chaguzi zetu zinaendeshwa na wapumbavu, upumbavu ni kipaji, mpambu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi, anajizima data
Wakati nyie mnapiga kelele wana uzoefu wa kufanya vinginevyo, na wamesha jipanga, overTushikamane, ili hawa tunaopigia Kura zetu, watuheshimu.
#KURA ZETU ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Ni kwa sababu wametuchukulia poa kwa muda mrefu.Wakati nyie mnapiga kelele wana uzoefu wa kufanya vinginevyo, na wamesha jipanga, over
Changamoto ipo hivi anayeruhusiwa kutangaza matokeo ni mkurugenzi hayo matokeo mliyo yapata huko mkurugenzi akitangaza tofauti mtamfanya nini sheria zinasemaje?, Vile vile mkurugenzi akijizima data, a.k.a kuahirisha kufikiri kizalendo utamfanya. niniUko sahihi Benny Haraba.
Sisi Wapiga Kura, kwa bahati mbaya kabisa, tumeendekeza upuuzi wa hawa wanaoendesha Chaguzi zetu.
Sasa tuseme imetosha.
#KURA ZIHESABIWE KWA UWAZI UCHAGUZI MKUU
Haya ndiyo tunayotakiwa kujadili katika kupaza sauti zetu.Changamoto ipo hivi anayeruhusiwa kutangaza matokeo ni mkurugenzi hayo matokeo mliyo yapata huko mkurugenzi akitangaza tofauti mtamfanya nini sheria zinasemaje?