Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha kupimana kilikuwa kwenye nguvu zaidi kuliko hoja na sababu