Upo sahihi, yale maubabe ya viwanjani hata mitaani hayapo tenaUelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha kupimana kilikuwa kwenye nguvu zaidi kuliko hoja na sababu
Ukiona unaumizwa na dharau kiasi cha kupigana ili kutafuta heshima jua kabisa evolution yako haijakamilika!! Una kiwango cha chini sana cha emotional intelligence na kujitambua!!!We unasema nini leo ninepigana hata sikuamini
Unajua kuna watu wana dharau sana
Yaan nimegundua 7bu kuu ya watu kupigana ni dharau sasa leo nikasema Unyonge basi Uostadhi nauweka pembeni
Zikapigwa tu kuna ugomvi mwingine AUTOMATICALLY unashindwa kuuepuka 7bu ile hali ya dharau inafika kiwango cha juu kabisa unashindwa kuvumilia
Hata kula madem mtungo/mande imepungua sana. Zamani ilikuwa kawaida na wala demu hashangai kuliwa na mtu na rafiki zake kadhaa bila maridhiano na issue inaishia hapo hapo.Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha kupimana kilikuwa kwenye nguvu zaidi kuliko hoja na sababu
Hata kula madem mtungo/mande imepungua sana. Zamani ilikuwa kawaida na wala demu hashangai kuliwa na mtu na rafiki zake kadhaa bila maridhiano na issue inaishia hapo hapo.Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha kupimana kilikuwa kwenye nguvu zaidi kuliko hoja na sababu
Nani anataka kesi ya ubakaji!!!Hata kula madem mtungo/mande imepungua sana. Zamani ilikuwa kawaida na wala demu hashangai kuliwa na mtu na rafiki zake kadhaa bila maridhiano na issue inaishia hapo hapo.
Katavi ni pembeni ya nchi kwaio kiwango cha kujitambua bado kipo chini na ushamba bado upo juuNjoo Katavi huku, tunapigana kila siku.
Huku Katavi msela ni mwenye nguvu....wenyewe wanamuita "mtemi".
katavi sehemu gani kuna huo ugomviNjoo Katavi huku, tunapigana kila siku.