Watanzania tunazidi kustarabika. Siku hizi ni ngumu sana kukuta watu wakipigana kama zamani, Tujipe hongera

Wanaopigana ovyo ni maskini..bora kupigana na umaskini kuliko na binadamu mwenzako ni umaskini wa hali.ya juu.

NB: kama ni mhalifu amekuja kwako, mpige bastola ya kichwa. Baaas.
 
Unaishi wapi wewe?
 
Tafsiri ya nguvu na ubabe sio katika kugombana wala kupigana ngumu

Ukiwa unanguvu na ubabe unaweza kutumia hizo nguvu kujipatia riziki Kama kuwa bondia au kulinda RAIA.

Binafsi nikiona MTU anagombana huwa namshusha viwango Sana.

Kenny rogers - coward of the country
 
"Ukiwa unanguvu na ubabe unaweza kutumia hizo nguvu kujipatia riziki Kama kuwa bondia au kulinda RAIA."

Wanatukaba sana huku buguruni. Sasa hivi sio kutumia nguvu tuu wanatumia mpaka akili.
Katika kila kundi la wakabaji 4 basi jua
2 ni wakala an unapigwa hardware na software.. totally
 
😁duh pole Sana

Buguruni wahuni wengi Sana .
 
Sio kustaarabika ni vizazi vile vimekuwa phased out na utu uzima pia. Ukitazama watoto wa 80's wengi ndio walikuwa na mapigo hayo wakarithisha kwa wale wa 90's ila kwa sasa hawa kundi la kwanza wako 40's wengi wame settle na familia baadhi still wanapambana na maisha. Hawa wa 90's nao wako on their 30's utu uzima umeanza kuwaingia nao wako focused na maisha zaidi.

Vizazi vya hayo makundi ndio akina junia ambao wengi wanazaliwa na kukulia kwenye comfort zone. Shule na school bus kila kitu wanajitegemea hawagombei uji wala sambusa sasa ugomvi utatokea wapi? Wachache ndio wako Kayumba schools ila pia hawana mambo ya crews yale shule wanaanza wakiwa wadogo sana na wanamaliza mapema sana.
 
Kwahio mmezipanga mtu mbike au sioπŸ˜‚? Vipi ulimchapa au kakugaragaza. Kiufupi dharau ndio chanzo cha nakoz konz
 
Ujakutana na dharau na kauli chafu za kifedhuli.
 
Sasa hivi ukirusha ngumi tu tiyari umewapatia polisi ulaji.
 
Dunia ya leo watu wakipigana inabidi waachwe mpaka waachane wenyewe hakuna kuamulia
 
Hujapita tandale,bado bro, umaskini upo pale pale, maugomvi yapo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…