Watanzania tusijiaibishe. Tunamtetea anayejichukulia sheria mkononi kuua polisi?

Ccm kuna wakati akili zinawarudia mkipatwa na dhahama, hivi wale magaidi waliotumwa na jpm na selikali ya ccm kumunua lisu wako wapi?
 
Na sio sahihi kwa Police kuchukua bunduki na kuua raia asiye na hatia kama walivomwua Akwilina. Mbaya zaidi ile mipolisi ya hovyo hovyo ikaonekana haina hatia wakati wameua mchana kweupe.

Nawasihi wazazi wasituzalie mipolisi ya hovyo hovyo kama hiyo inayoona ufahari kuua mpaka mtoto wa kike!
 
Tatizo polisi walitutia hasara walitumia risasi nyingi mno,
 
Mie nawalaumu wazazi wa wabunge, walituzalia watoto walioleta tozo
 
Kabla sijachangia naomba kujua una Tanzania au nje ya Tanzania

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Yule hakuwa mpinzani labda anatetewa na wanachama wenzie . Au sasa kila Jambo negative ni la wapinzani ?!
 
Mbuzi wa Mwinyiheri na Majani ya Mwinyiheri
 
Iko movie moja nilicheki ya ma pirates Wa kisomali inaitwa captain Philip kama sijakosea,ah kudadeki wasomali wana roho ngumu,manake nasikia ilikuwa ni true story.
 
Wako wapi wauaji wa wale wafanyabiashara wa madini wa Mahenge? Waliomuua Azory Gwanda? Akwilina? Watu wangapi wameuliwa kinyama na polisi na mambo yakafunikwa?! Aibu inapatikana wananchi wakifurahia kitendo cha Hamza, lakini watawala wakitumia polisi kunyanyasa na kuua haileti aibu kwa nchi?! Tabia hii ya kikundi cha watu kujiweka juu ya sheria ni mbaya na ina madhara kuliko hicho kitendo cha Hamza....unajua kwa nini? Kwa sababu Hamza kaua wanne, ila genge hili ovu limeua wengi na bado linaendelea kudhulumu na kuua. Kama suala ni kosa, ni kosa kwa wote, tusiwekane kwenye madaraja.
 
Fala wewe siku polisi wakikuua wewe ntakimbia jogging kutoka morogoro mpaka dar mapumbu yakiwa wazi huku nikishangilia.Hili swali lako la Kifala linashangaza sana

"Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?"
 
Ukiwa mtenda mabaya kila unalotenda unahisi unaonewa na ukiwa na raho mbaya kweli watakuogopa. Mmesahau mapema hivi.
 
Hi ni Jamhuri ya JF, wanaishi na muono na sheria zao. Walishindwa uwanja wa siasa na Uchaguzi, huu ndio uwanja wao wa kupumua na kutoa machungu moyoni . Kichapo cha Magufuli na kiwewe chake bado mninginio wake haujaisha. Jitahidi uwazowee tuu.
 
Hivi wewe mtoa bandiko unafikiria kwa kutumia kiungo gani[emoji34][emoji34]
Umedhulumiwa na polisi halafu unaenda shitaki polisi,unadhani utapata msaaada[emoji15]
 
najua mkuu ila mtu kama croo ni kimba kimba sanaaa....
 

Ningelikuwa naishi dar ningehudhuria mazishi yake shujaa hamza.
 
Mkuu usiseme watanzania, sema wanachadema. Makamanda wanaamini chama chao ni bora kuliko Tanzania. Baya lolote likitokea kwa nchi yetu wao wanafurahi na kushangilia.
 
Poleni CCM Kwa Kumpoteza Mwanachama wenu Hamza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…