Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

Wanafunzi mliosomea Urusi nafikiri mnajua kuwa mrusi ni mbaguzi wa rangi nyeusi namba moja duniani
Hao siyo wanafunzi tena, wengi wao ni wahitimu na ni viongozi sehemu waliko. Kuhusu ubaguzi nadhani ungefanya utafiti kidogo tu kujua kuwa wengi wao ndoa zao ni za mchanganyiko wa rangi
 
Wanafunzi mliosomea Urusi nafikiri mnajua kuwa mrusi ni mbaguzi wa rangi nyeusi namba moja duniani
Wanawake wakirusi hao siyo wabaguzi! Wangekuwa wana wabagua weusi, tusingempata Maria Sarungi - Nyako wa Karachwonyo! Wanawake wanawapenda waafrika sana, hasa wakati wa winter ya Urusi. Temperatures zikishuka minus, mwafrika inapanda > 37
 
Mkuu Putin kazaliwa 1952. Kwa hiyo 1973 alikuwa na Miaka 21 Tu, na kwenye Historia ya Maisha yake inaonyesha 1970 hadi 1975 alikuwa akisoma Chuo Kikuu (St. Petersburg State University). Hii Imekaaje?
Inakaa tu hata Salim Ahmed alishikaa nyazifa kubwa akiwa bwana mdogo tu rejea historia utashi tu majaaaliwq
 
Sijawai sikia mrusi aki safiri safir ovyo ovyo kam wUzungu wengine hata kumsikia Putin Yuko taifa flan hpn hawezi kwenda poppte nasiki nchi ile ina kila kitu yaani mpk mimbuga mikubwa tu awezi mkuta mrusi Ni mtalii Ana kila kitu alichonacho wee so uwezi mkuta mrusi anazunguka zungua huku na kule duniani Kama mchina na mzungu
 
Tanzania hatuna ubavu wakunyanyua pua kwa wakubwa wanapofanya yao, kama tumeshindwa hata kwenda kuwaokoa watanzania wenzetu walioko kwenye eneo la vita huo ubavu wa kuingilia mambo ya wakubwa tunaupata wapi?, sisi tusubiri kunukiwa na harufu ya ushuzi kutoka kwa wakubwa,na ni marufuku kusema kuwa mkubwa kajamba kwa kuwa mkubwa hajambi bali ana pumua.
 
Russia says they already have a substitution for import of semiconductors — sanction the west praised the most
 
Hamna mzungu ndugu yetu acha utapeli wa kijinga. Sana sana useme Putin ni rafiki wa CCM maana huwa hahoji wizi wa kura unaofanywa na CCM.
Mataifa ya bara la ASIA karibia wote wakija kuwekeza AFRICA huwa hawacheki na kima huwa hawaingilii utawala wala democracia ya nchi za kiafrika wao huwa bize kuchota mali tu.Mf wachina hata kama mnapigana wao wapo bize kuiba mali hawakemei,wala kutoa tamko tofauti na Mmarekani na MUINGEREZA
 
They are clearly already prepared for any sanction they could face, they wouldn't have invaded if sanctions would bring them down
 
Hamna mzungu ndugu yetu acha utapeli wa kijinga. Sana sana useme Putin ni rafiki wa CCM maana huwa hahoji wizi wa kura unaofanywa na CCM.

Wamarekani weusi mnateseka sana, jamaa yenu wamaslahi + NATO wameufyata na kumwacha mwenzao akibondwa natayari wanajeshi 137 wameuawa wa ukraine. Biden ameshasema haingii vitani 🤣 Chezea puttin wewe.
 
Zaidi ya upumbavu wa mavita na kuua watu,Putin amesaidia nini kwenye uchumi wetu?

Undugu ni kufaana,marekani na washirika wake ndio wenye mchango mkubwa kwenye uchumi wetu kuliko wengineo
Bora useme wewe kujipendekeza kwa Mrusi ambae huwajui ni sawa na kuolewa ja muuaji.Watu wanashadadia kwa kuweka chuki za kimaskini kwa Mmarekani
 
Hii habari haiwezi kuwa kweli. Putin alijiunga jeshi 1975 baada ya ku graduate university.

Mwaka 1973 Putin alikuwa na miaka 21 tu. Hakuwa Mwanajeshi
 
Hamna mzungu ndugu yetu acha utapeli wa kijinga. Sana sana useme Putin ni rafiki wa CCM maana huwa hahoji wizi wa kura unaofanywa na CCM.
Hata akihoji wewe itakusaidia nini kwanza pigania tumbo lako achakujipendekeza uonekane unajua siasa
 
MBONA MWENYEKITI WETU HANGAYA ANAWAPENDA SANA..TUTAFANYAJE SASA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…