Putin na serikali yake siyo wajamaa. Jaribu kujielimisha kila wakatiAfadhali hakumualika huyo mshenzi. Angetuletea gundu tu.
Kuukaribisha ujamaa ni Sawa na kupalilia umasikini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin na serikali yake siyo wajamaa. Jaribu kujielimisha kila wakatiAfadhali hakumualika huyo mshenzi. Angetuletea gundu tu.
Kuukaribisha ujamaa ni Sawa na kupalilia umasikini tu
Hao siyo wanafunzi tena, wengi wao ni wahitimu na ni viongozi sehemu waliko. Kuhusu ubaguzi nadhani ungefanya utafiti kidogo tu kujua kuwa wengi wao ndoa zao ni za mchanganyiko wa rangiWanafunzi mliosomea Urusi nafikiri mnajua kuwa mrusi ni mbaguzi wa rangi nyeusi namba moja duniani
Wanawake wakirusi hao siyo wabaguzi! Wangekuwa wana wabagua weusi, tusingempata Maria Sarungi - Nyako wa Karachwonyo! Wanawake wanawapenda waafrika sana, hasa wakati wa winter ya Urusi. Temperatures zikishuka minus, mwafrika inapanda > 37Wanafunzi mliosomea Urusi nafikiri mnajua kuwa mrusi ni mbaguzi wa rangi nyeusi namba moja duniani
Inakaa tu hata Salim Ahmed alishikaa nyazifa kubwa akiwa bwana mdogo tu rejea historia utashi tu majaaaliwqMkuu Putin kazaliwa 1952. Kwa hiyo 1973 alikuwa na Miaka 21 Tu, na kwenye Historia ya Maisha yake inaonyesha 1970 hadi 1975 alikuwa akisoma Chuo Kikuu (St. Petersburg State University). Hii Imekaaje?
Jinga kabisa...ndugu kwa mama yako yupi?Hii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
[emoji23][emoji23] Kenya wangeiinglia russia kijeshi kwa kauli hii
Hii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
Mataifa ya bara la ASIA karibia wote wakija kuwekeza AFRICA huwa hawacheki na kima huwa hawaingilii utawala wala democracia ya nchi za kiafrika wao huwa bize kuchota mali tu.Mf wachina hata kama mnapigana wao wapo bize kuiba mali hawakemei,wala kutoa tamko tofauti na Mmarekani na MUINGEREZAHamna mzungu ndugu yetu acha utapeli wa kijinga. Sana sana useme Putin ni rafiki wa CCM maana huwa hahoji wizi wa kura unaofanywa na CCM.
Hamna mzungu ndugu yetu acha utapeli wa kijinga. Sana sana useme Putin ni rafiki wa CCM maana huwa hahoji wizi wa kura unaofanywa na CCM.
Bora useme wewe kujipendekeza kwa Mrusi ambae huwajui ni sawa na kuolewa ja muuaji.Watu wanashadadia kwa kuweka chuki za kimaskini kwa MmarekaniZaidi ya upumbavu wa mavita na kuua watu,Putin amesaidia nini kwenye uchumi wetu?
Undugu ni kufaana,marekani na washirika wake ndio wenye mchango mkubwa kwenye uchumi wetu kuliko wengineo
Hii habari haiwezi kuwa kweli. Putin alijiunga jeshi 1975 baada ya ku graduate university.Hii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
Bora useme wewe kujipendekeza kwa Mrusi ambae huwajui ni sawa na kuolewa ja muuaji.Watu wanashadadia kwa kuweka chuki za kimaskini kwa Mmarekani
Putin ni ndugu wa watu wa MATAGAHii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
View attachment 2130250
Hata akihoji wewe itakusaidia nini kwanza pigania tumbo lako achakujipendekeza uonekane unajua siasaHamna mzungu ndugu yetu acha utapeli wa kijinga. Sana sana useme Putin ni rafiki wa CCM maana huwa hahoji wizi wa kura unaofanywa na CCM.
MBONA MWENYEKITI WETU HANGAYA ANAWAPENDA SANA..TUTAFANYAJE SASA?In the near future Rais SSH ni vizuri akimwalika rais Putin kuitembelea Tanzania hata kwa muda mfupi. We are tired of the imperialist the mabeberus. Kazi yao kuhamasisha vita tu ili wapate masoko ya kuuza silaha zao. To hell with the imperialists 👎👎