Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

Unaongelea watanzania gani mleta mada?

Hawa ambao wanapokea buku 5 kwa Samia?

Huyu Shabiby ndiye bingwa wa kugawa buku 10 pale Gairo.
 
Haiwezekan tukawa ba viongoz kazi yao ni ufisadi kuuza mali asili na kua na mipango ya kumkandamiza mwananch wa chini kabisa
 
Uwe unasoma habari mpaka mwisho so unasoma bichwa la habari na kupanic alichosema mbunge si kibaya na lina tija kwa wote
 
Mleta hoja maana yake kuonyesha hisia zake kuwa wazo la mheshimiwa mbunge halina mashiko wala mantiki na halitekelezeki.
ni ungwana zaidi,
akapendekeza mbadala wa hoja ya mbunge kuliko kupambana out of target 🐒

haitasaidia hata kidogo..
zama Kuklax Klan karne hii jamani
 
NHIF tu imewashinda sasa wanatoa wapi kiherehere cha kutaka bima ya wote? Kama wanatak bima ya wote watumie pesa ambazo wanaziiba ambazo kila mwaka CAG anasema
 
ni ungwana zaidi,
akapendekeza mbadala wa hoja ya mbunge kuliko kupambana out of target 🐒

haitasaidia hata kidogo..
zama Kuklax Klan karne hii jamani
Mkuu iv huoni kama NHIF serikali imewashinda? Au ndo yaleyale unaanzisha unashndwa unaanza kusema nabinafsisha cna uwezo
 
Watanzania hatuna umoja ndiyo shida yetu
 
Mkuu iv huoni kama NHIF serikali imewashinda? Au ndo yaleyale unaanzisha unashndwa unaanza kusema nabinafsisha cna uwezo

Mkuu iv huoni kama NHIF serikali imewashinda? Au ndo yaleyale unaanzisha unashndwa unaanza kusema nabinafsisha cna uwezo
ni dosari na kasoro za kawaida tu, zinarekebishika, zinasahihishika tuvute subra....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…