Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo


Wazo zuri, ila kwa uzombie wetu hilo halitekelezeki.
 
A
Acha ujinga wako.. wewe gari lako litakubeba mie wap??? Niambieeee kosa lake kitaalamu nini
 
Kama una basi lako weka Barabarani tupande kabla ya kususa la Shabiby
 
Hii akili ya kususa susa kama wadada wapinzani mjitafakari, yan niny mkipingwa ni kesi
 
Nakuunga mkono,hawa jamaaa wanajilipa mishahara na maposho hayaelezeki tena bila kodi lakini wao ndio wanaozalisha makodi kila kukicha .
 
Labda tusibiri Sgr ianze kazi
 
Huna namna nyingine Mkuu ya Kutushauri?
Kwahiyo Mtu akitoa maoni yake tayar tususie bishara zake?
Njia ya Dom kumsusia Shabiby
Ni sawa kususia bidhaa Za Azam ,utaishije?
 
CCM ni ile ile ohh ni ile ile 🀣🀣🀣🀣
 
U
Siku ukiweza kutofautisha kati ya Shabiby mtu na Shabiby Basi, ndo siku utaweza kuwa na akili.
Usidanganye watu wasiomfahamu Ahmed,nimeishi sana Gairo huyu jamaa akiwa msela flani licha ya kuwa Mbunge. Alikuwa na kundi la vijana ambao aliwafungulia salon enzi zile pale sokoni karibu na kwa Muha mmoja aliitwa Matias.

Hizo gari ni zake,yeye na kaka yake ambaye huyu kaka yake alikuwaga na bus moja nimelisahau jina lilikuwa likifanya safari za DODOMA -ARUSHA ila lilikuwaga bovubovu vilevile km yalivyokuwa haya Dodoma -Dar unayakuta ma 3 njiani yameharibika.
 
Hivi hawana route ya DAR _MORO???
Maana hizi abood zimekua gari za Mbagala kkoo siku hizi
Ac za kupimiwa
Na bus zao wanasimamisha abiria kama mwendo kasi ya kimara

πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒ siungi mkono kuongezewa kodi kwenye line za simu watatuua jamani
 
Mkuu kuhusu kususia kupanda mabasi ya shabiby umebugi yaani TUSUSIE KUPANDA NDEGE ZA BARABARANI HALAFU TUPANDE NINI? Kapekue ushawishi mwingine lakini kwa mabasi ya shabiby hakuna mbadala wake jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…