Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

Simu zenyewe mnatumia kutongozea na kutazamia ngono wazo la mbunge ni zuri usipoumwa wewe ndugu yako ataumwa.
Achen negativity wabongo,wangapi wanakufa kwa kukosa matibabu kisa mia Tano.
 
Dodoma usipopanda shabibu upande bus gani sasa.
Kama abood ni morogoro.
Superfeo Songea njombe
 

Wewe unaonekana Una chuki binafsi!
Na Nitawashiwi watu wasikuunge mkono…
labda ufanye Yafuatayo
1.Ueleze njia mbadala alizozisema Shabiby ambazo nadhani ni zaidi ya Moja ili kutunisha Mfuko wa Bima ya Afya.
Nadhani alisema Pia Wabunge wakatwe kiasi Fulani!
Wewe unataka Wazazi wetu Babu zetu wakose Huduma!
Unapopinga Jambo weka na Mbadala mawazo yako ni nini?
 
Mimi ninamuunga mkono Shabiby.
Ukiangalia vitu vya kipuuzi vinavyomeza MB zetu kwenye Mitandao, ninaamini tukilipia Bima ya Afya kwa Watanzania wenzetu, tutakuwa tumefanya jambo la maana.
Mitandaoni, zaidi ya Asilimia 90 ya yaliyomo, ni upuuzi mtupu.
 
Na bwana TOZO og mwigulu je, maana inasemekana na yeye ana mabasi?
 
Nimedanganya nini?
 
Hii akili ya kususa susa kama wadada wapinzani mjitafakari, yan niny mkipingwa ni kesi
Mkuu nchi za kiafrika tuliwasusia makaburu wa africa kusini enzi za Makuburu, je tulikuwa wadada ama mishangazi?
 
Maccm ndiyo msusie maana wapinzani walisha wapa tahadhali mapema kuwa kuwachagua ccm ni janga kubwa lkn mkatuona kuwa ni wachumia tumbo
 
Shabiby Line ndio usafiri pendwa na salama kabisa katika hiyo barabara ya Morogoro , hivyo tafuta njia nyingine ya kumchukia Shabiby sio mabasi yake.
Wana ccm waliowengi ni mafukala kulingana na takwimu za Twaweza
 
Sema CHAGADOMO msuse
 
Hawa wa CCM hawategemei kura kama alivyosema mmoja wa wateule jana kwenye kumshukuru mwenyekiti wao.
Hao ndiyo majambazi wa kupora haki za wananchi kwenye sanduku la maamuzi ya nani awe mtawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…