Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

Uwe unasoma habari mpaka mwisho so unasoma bichwa la habari na kupanic alichosema mbunge si kibaya na lina tija kwa wote
Hakuna alichokiongea chenye unafuu kwa mvuja jasho
 
Kwasasa tunataka katiba mpyaaa haya ya matozo acha yawemengi wananchi tupigikeee akili itakuja...
 
Kabisa hawa magabachori wanatuharibia sana nchi
 
Huyu Shabbiby Latra ikimkata tozo ya sh 1,000/= kwa kila msafiri ndani ya basi lake atapiga kelele na kutaka apanfishe nauli! Ila kwetu sisi anatuona tunazo pesa nyingi tu, watanzanzani tunalala sana kama vikuku vya nyama kiasi kila mtu kesha tuona mabwege, tujifunze jinsi ya kujitetea kama wafanyavyo nchi nyingine.
 
Umesahau, pia ndo mmiliki wa mabasi ya satco, yanayofanya safari dom to mwanza
 
we mwehu,bei ya mabasi hapangi yeye,kutoa maoni bungeni ni kazi yake,na pia hiyo kodi anayopendekeza ikikubalika inaenda bika ya afya ambako watanzania wote watafaidika
 
Susa wewe mimi nitapanda
 
we mwehu,bei ya mabasi hapangi yeye,kutoa maoni bungeni ni kazi yake,na pia hiyo kodi anayopendekeza ikikubalika inaenda bika ya afya ambako watanzania wote watafaidika
Vitako vyako vimenenepa unajiona umekua, wee bado haujavunja ungo.
 
Kwa nini usiseme asipewe kura tena kwa mawazo yake kama hayo aliye yatoa huyo mbunge?Au kwa kuwa ni mfanyabiashara Je ingekuwa hayo mawazo ametoa mbunge mwingine kama alikuwa na kiosk cha pombe ungesema watu wasuse kununua bia au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…