Watanzania tuwe makini 2025. Tujifunze jambo kwa Wamarekani kukataa kuongozwa na mwanamke licha ya uwezo wake

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa linapokuja
suala la kuongoza nch
 
Wanapingana tu na nature,, lakini ndo uhalisia wenyewe.
Uzuri wa nature haipingwi na ikipingwa ni lazima kuwe na uelewa mkubwa na wa kisayansi kama jamaa zetu wa Marekani. Leo nimemuona Mwanamama Haris kwa huruma akiconcede matokeo .
 
mwanaume ni kichwa na Mungu hupitishia baraka zake hapa. haijalishi hicho kichwa kina dhambi kiasi gani kikiombewa tu kinazidi kupata akili.
kumfanya mwanamke atuamulie mambo ya kitaifa ni kumtukana Mungu mwenyewe..
 
Mungu atuhurumie tupate akili siasa na uongozi
 
Wamarekani Wana akili sana kwenye suala la kuweka kiongozi hawataki mzaha.wanaweka mwenye uwezo siyo jinsia.waliogopa kumchagua Kamala Kwa sababu walijua Nchi ingeongozwa na mtoto wa Kamala kama ilivyo Tanzania Kwa Sasa amri zote zinatoka Kwa abduli na siyo kwa prezidoo
 
Mwanamke kaumbwa kuwa msaidizi na siyo kiongozi,, huu ni ukweli usiokubalika kwa baadhi ya wanawake wa karne hii 😎🤝🏽
Sasa kwataarifa yako, kuna nchi moja huko nimeisahau jina... mwanamke ndio kiongozi alafu wanaume ni wasaidizi wake...😂
 
Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa linapokuja
suala la kuongoza nch
Huna akili
 
HAKUNA KAMA MAMA. MAMA SAMIA@2025

Huyo wa US ni mambo yao ya kusapoti vita huko Gaza na UKraine ndio yamemponza

Mama SAMIA hana shida apewe maua yake
 
Zile kura milion 60+ alizopata Kamara ulimpigia wewe au alipigiwa na wamarekani hewa ?
 
Ukweli ni mchungu kwa wanaccm hata huyu mama uchaguzi ukiwa fair na usiingiliwe na dola 2025 hapati hata 20% ya kura
 
HAKUNA KAMA MAMA. MAMA SAMIA@2025

Huyo wa US ni mambo yao ya kusapoti vita huko Gaza na UKraine ndio yamemponza

Mama SAMIA hana shida apewe maua yake
Hakuna cha Gaza wala Ukraine wamarekani nafasi ya uraisi mwanamke hana nafasi , rejea pia kwa Hillary
 
Back
Top Bottom