Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
- Thread starter
- #21
Mkuu, punguza fikra potofu. Usipende kutukana kwenye mambo ya msingi. Kwenye hoja yangu, Sina mahala nimeweka matusi.We umezaliwa na mbaba? Jinga huna hata haya kutuletea huu upupu? Magreth Thatcher(Iron Lady) ni mwanaume? Unamfahamu Angel Merkel? Aliongoza Ujerumani km Chancellor kwa muda mrefu kuliko mwanaume yeyote. Na Hellen Johson Sirleaf mwafrika mwenzako naye umemsahau. We ni empty set kichwani