Wanapingana tu na nature,, lakini ndo uhalisia wenyewe.Kuna nchi bado hawajaliona na hawataki kulielewa hilo.
Uzuri wa nature haipingwi na ikipingwa ni lazima kuwe na uelewa mkubwa na wa kisayansi kama jamaa zetu wa Marekani. Leo nimemuona Mwanamama Haris kwa huruma akiconcede matokeo .Wanapingana tu na nature,, lakini ndo uhalisia wenyewe.
Uzuri wa nature haipingwi na ikipingwa ni lazima kuwe na uelewa mkubwa na wa kisayansi kama jamaa zetu wa Marekani. Leo nimemuona Mwanamama Haris kwa huruma akiconcede matokeo .Wanapingana tu na nature,, lakini ndo uhalisia wenyewe.
Sasa kwataarifa yako, kuna nchi moja huko nimeisahau jina... mwanamke ndio kiongozi alafu wanaume ni wasaidizi wake...πMwanamke kaumbwa kuwa msaidizi na siyo kiongozi,, huu ni ukweli usiokubalika kwa baadhi ya wanawake wa karne hii ππ€π½
Huna akiliWamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa linapokuja
suala la kuongoza nch
Zile kura milion 60+ alizopata Kamara ulimpigia wewe au alipigiwa na wamarekani hewa ?Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa linapokuja
suala la kuongoza nch
Hakuna cha Gaza wala Ukraine wamarekani nafasi ya uraisi mwanamke hana nafasi , rejea pia kwa HillaryHAKUNA KAMA MAMA. MAMA SAMIA@2025
Huyo wa US ni mambo yao ya kusapoti vita huko Gaza na UKraine ndio yamemponza
Mama SAMIA hana shida apewe maua yake