Watanzania tuwe makini 2025. Tujifunze jambo kwa Wamarekani kukataa kuongozwa na mwanamke licha ya uwezo wake

Mkuu, punguza fikra potofu. Usipende kutukana kwenye mambo ya msingi. Kwenye hoja yangu, Sina mahala nimeweka matusi.
 
Sasa kwataarifa yako, kuna nchi moja huko nimeisahau jina... mwanamke ndio kiongozi alafu wanaume ni wasaidizi wake...πŸ˜‚
Wameamua tu kupingana na nature,, ungeniambia hiyo nchi ni ipi ingependeza sana πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…