wewe mbona uko bongo wakati hakuna la maana.

Ndugu yangu Tindo tuipende nchi yetu na tuipiganie hata kama kuna mambo sio rafiki, lakini ndio Taifa letu lazima tulipende na kuonyesha fahari kuzaliwa hapa..

Nimemwambia huyo anayeweka vitisho vya kijinga. Mimi niko hapa sio kwakuwa ni pa maana, bali niko kwakuwa ni nyumbani. Lakini hakuna uwezekano eti niende US halafu unitishie kuwa siku nikirudi utanikomoa kwa kudai haki yangu, ni kipi hasa nitakuwa napoteza kwa kutokurudi hapa Tanzania v/s US?
 
NAHUNGA MKONO HOJA YAKO KWA ASILIMIA ZOTE KIONGOZI
 
Marekani katiba yao iko vizuri sasa mbona hao waandamaji wamechoka sana kuanzia sura hiyo katiba ya Marekani haiwapi maisha maisha mazuri?
 
tupo hapa tunawa zoom ...tutaelewana
 
ITIFAKI ya Rais imefanya aibu kumficha Rais asionane na waandamanaji,kwani alipaswa kuwasikiliza na kuwaita ktk mkutano bila kuangalia sura. Kumpitisha Rais mlango wa nyuma ni aibu ktk dhana ya kujenga demokrasi.Kumkimbiza Rais kuonana na waandamanaji ni kudhihaki uwezo wa Rais https://t.co/aJ8D0qLgeZ
 
Mwamba jpm alijua akiwachekea hawa hatofanya na halitoonekana lolote jema lake, AKAWAFINYIA MBALI huko na akajipatia nafasi ya kufanya mambo yake kwa uhuru na mwishowe nchi yote ikaimba jina lake........
Eti aliwafinyia mbali?? Yukwapi sasa?? Amekufa ameiacha Chadema unadhani Mama naye anataka kuongeza maadui maisha yake yawe mafupi kma JPM??

Kilio Cha mamaye Ben saa8 na Kabendera vilitosha kuondoa uhai wa yule dikteta. Damu ya mtu sio nyepesi kma unavyotype hapo ukiwa kitandani hta mjusi tu hujawahi ua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…