Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

Wewe kifafa watu wamekesha kumshukuru Mungu na kujiombea wenyewe na familia zao siyo huyo mtu wako,wewe jamaa una ufala mwingi sana ndiyo maana wanakudharau. Unamshobokea mtu hadi anakuonea kinyaa.
 
Wewe unaamini Kuna mahali Tanzania hii kwamba Kuna watu wamekesha purposely kumuombea samia?
Hakuna kitu kama hicho hata Jiwe aliyekua analia Kila siku mniombee hakuna siku watu walikesha ibadani yeye akiwa theme of prayers or congregation!
Wivu na chuki binafsi ndio vinakusumbua sana.Umepofuka akili na macho.
 
Na mi nililia sana....




...Ni Hayo Tu!
 
Muongo mkubwa wewe

Kupigiana simu na wanadini machawa kisha anawachangia milioni 100 ndio waumini wanabubujikwa na majozi kumuombea?

You must be obtuse !!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naona wivu unakasumbua Sana.
Huna maana yoyote na utajuta mwaka huu uchawa wako utakupa kigugumizi maana CCM yako inaenda kugawanyika na kupitia wakati mgumu mpaka mgombea wenu atadiriki kukimbia labda alindwe na dola sijui utamtetea nani ili ujipatie kipato.
 
Huna maana yoyote na utajuta mwaka huu uchawa wako utakupa kigugumizi maana CCM yako inaenda kugawanyika na kupitia wakati mgumu mpaka mgombea wenu atadiriki kukimbia labda alindwe na dola sijui utamtetea nani ili ujipatie kipato.
CCM haiwezi kugawanyika hata kidogo.CCM ni chama imara na kitaendelea kiwa imara na yenye nguvu.
 
Haya machozi wanabubujikwa wewe mjinga Huwa unayaona wapi. Kweli una akili timamu unaweza ukapoteza muda kuandika vitu kama hivi. Baba Yako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Jinga na shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Wewe hunaga akili kabisa.
 
Hili mbwiga sijui kwa nini halikufia tumboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…