Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

Wivu na chuki binafsi ndio vinakusumbua sana.Umepofuka akili na macho.
Nakuambia una kanisa Moja lililokesha kumuombea Samia? Kwamba mkesha na Congratulations ilikutana Kwa sababu ya kumuombea Samia? Yeye Samia anakuona kama Malaya wa kujipendekeza Kwa sababu ya Maandiko Yako ya ngonjera na tatarira zisizobeba mantiki yoyote ambayo Ina impact Kwa jamii!
Ndio mana anakupuuza! Mjinga wewe
 
Bichwa kubwa akili kisoda
 
Nimekusamehe bure kabisa.Amani Ya Bwana iwe pamoja nawe.Mungu akupe hekima na busara ndani yako na kukufanya kuwa chombo chake kipya cha kueneza upendo na amani kwa Watu wote.
Mkuu, wakati Watanzania wako makanisani wakisali wewe ulikuwa unapita kanisa moja baada ya lingine ukiandika prayer points zao badala ya kujiunga nao kwenye kuomba.

Vv
 
Hivi ndio jinsi ccm wanavyotuona watanzania 😂
 
Mkuu, wakati Watanzania wako makanisani wakisali wewe ulikuwa unapita kanisa moja baada ya lingine ukiandika prayer points zao badala ya kujiunga nao kwenye kuomba.

Vv
Hata mimi nilijiunga nao ndio maana nikasikia maneno yao ambayo yalikuwa yakinenwa na vinywa vyao,
 
Rubbish
 
Rais aliyepwaya hata watu wakifanya maombi wakiwa wapi haisaidii chochote .

Ruto alimpa mwaliko hadi Benny Hinn kwenda kuhubiri Kenya ila haikusaidia chochote.

Rais anayepwaya siku zote yuko busy kutengeneza matukio ili kuonyesha anafanya kazi na visingizio vya kusema aombewe.
 
Rais Wetu ndiye Rais mwenye ushawishi zaidi barani Afrika kwa sasa.ndio maana uliona akipata mualiko kwenye mkutano wa G20 Mwaka jana.
 
Rais Wetu ndiye Rais mwenye ushawishi zaidi barani Afrika kwa sasa.ndio maana uliona akipata mualiko kwenye mkutano wa G20 Mwaka jana.
Wewe unaota!

Ushawishi wa Samia ni upi?

Kuuza bandari na mapori kwa waarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…