Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #141
Rais Samia anakubalika kila mahali.Yah ni kweli kabisa, but ni mdomoni na kwenye mitandao kama hivi
Wenyewe wanakula pardm Tu tena kubwaaaaaaa ila huku mnakuja kusema tuko pamoja
Rais Samia anakubalika kila mahali.
Ananufaika na sera wezeshi za Rais Samia ambazo zimeleta unafuu mkubwa sana wa kimaisha kwa watanzania pamoja na kuwainua kimaisha.mfano angalia suala la kutoa Ruzuku kwenye pembejeo za kilimo hususan mbolea namna lilivyochochea uzalishaji na kuongeza kipato kwa mkulima mmoja mmoja.angalia sera ga Elimu bure namna ilivyo leta nuru na tabasamu kwa wanafunzi wengi.Then mtanzania ananufaikaje?
Rudi wewe utuache sisi tukisonga mbele kwa kishindo na Rais wetu Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi uchaguzi wa Urais wa hapo mwishoni mwa mwaka huu.bwana lukas sijasoma maada zako kitambo leo ni mekutana na hii aseee ni bora turudi 2024 huku tunakoenda sio poa
Ananufaika na sera wezeshi za Rais Samia ambazo zimeleta unafuu mkubwa sana wa kimaisha kwa watanzania pamoja na kuwainua kimaisha.mfano angalia suala la kutoa Ruzuku kwenye pembejeo za kilimo hususan mbolea namna lilivyochochea uzalishaji na kuongeza kipato kwa mkulima mmoja mmoja.angalia sera ga Elimu bure namna ilivyo leta nuru na tabasamu kwa wanafunzi wengi.
Huwezi ukaelewa kama akili yako na macho yako vimepofuka.Kitu gani Kati ya hayo havikuwepo zamani?
Hata wa bata una IQ kubwaBinadamu pekee humu Jamii forums anayemiliki ubongo wa bata
Huwezi ukaelewa kama akili yako na macho yako vimepofuka.
Kilimo kipo miaka yote lakini sera ndizo hubadilika kulingana na wakati na mazingira na mabadiliko ya Dunia kisera na mahitaji.Mbona unaanza matusi?
Ilani gani ya uchaguzi haikusema hayo mambo?
Unajua slogan ya kilimo kwanza ilitokea wapi?
Nataka unambie kipya because hayo yote umeongea yapo miaka yote kwenye ilani zite