Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuDaa ninebubujikwa na machozi ya furaha kwa habari hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuDaa ninebubujikwa na machozi ya furaha kwa habari hii
Kumuunga katika nini.Kwa hiyo hautaki tumuunge mkono Makonda?
Inawezekana umekesha bar huko na bado zipo kichwani zinakusumbuaPumbavu.Mimi ni mtanzania ,sikubaliani na ulichoandika,hivyo niondoe kwenye huo upuuzi wa kububujikwa machozi
Kenge wahed.Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.View attachment 3190248
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimekusamehe na Mungu akafanye Mwaka huu uwe wa heri kwako na uweze kutimiza na kufikia ndoto na malengo yako.Kenge wahed.
Kunywa biaKumuunga katika nini.
Ukinywa wewe inatosha.Kunywa bia
uhakika wa Tanzania ya umoja, amani na utulivu wa wananchi ni Comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, mwenyekiti wa CCM Taifa, na Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.View attachment 3190248
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Siku hizi hamtaki tena Makonda sijui wamezinguana nini kahamia kwa Sultan Mbowe.Kwa hiyo hautaki tumuunge mkono Makonda?
Acha ujinga wako hapa.Siku hizi hamtaki tena Makonda sijui wamezinguana nini kahamia kwa Sultan Mbowe.
Na wewe tenda mema yenye kugusa na kubadilisha Maisha ya watu ili uombewe na watu usiku na mchana.Ahueni sisi Watanganyika tulikuwa busy na mambo yetu binafsi. Nyinyi Watanzania Makenge kesheni tu na hayo machozi yenu.
Kwani umeona ni wapi andiko langu likizungumzia walevi wa Bar aina yakoAcha fix, mbona wengine tumekesha bar tunakula vyombo.
Mimi siyo maskini wa kufikiriWewe ni maskini
Maskini wa kufikria mpaka kipato
Kilio na manung'uniko ya wengi ni dua, ole aongezaye tozo kuwakomoa wananchi, dua haitamuacha!Ndugu zangu Watanzania,