zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
Jitahidi kucontrol mahaba yakoMimi siyo maskini wa kufikiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kucontrol mahaba yakoMimi siyo maskini wa kufikiri
Unawakilisha mbumbumbu wenzako waliobubujikwa na machozi 🚮Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.View attachment 3190248
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wako hapa weweKilio na manung'uniko ya wengi ni dua, ole aongezaye tozo kuwakomoa wananchi, dua haitamuacha!
Wewe ndiye limbumbumbu.Jamaa li mbumbumbu yaani lipumbavu sana hili lijamaa
Mpumbavu mkubwa wewe,unabisha siku hizi siyo chawa wa Sultan Mbowe?Acha ujinga wako hapa.
Luca ulikuwa kwa ze bulldozer ama kwa Mucha,ama Kiboko ya wavilingeni.Nimekusamehe bure kabisa.Amani Ya Bwana iwe pamoja nawe.Mungu akupe hekima na busara ndani yako na kukufanya kuwa chombo chake kipya cha kueneza upendo na amani kwa Watu wote.
Mimi ni mwana CCMMpumbavu mkubwa wewe,unabisha siku hizi siyo chawa wa Sultan Mbowe?
Hivi utaliowa kweli hizo posho za uchawa...? Bila kububujikwa.....huwezi kuandika makala zako za kichawaNdugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.View attachment 3190248
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huku kaletwa kwa mkopo,msimu ukiisha anarejeq mboga mboga.Mpumbavu mkubwa wewe,unabisha siku hizi siyo chawa wa Sultan Mbowe?
Kaka mkubwa yupo kazinii na kazini kwake ipo kaziHivi kaka mkubwa huwa hauna habari nyingine tofauti na za kububujikwa na machozi,mi huwa naku zoom tu