Watanzania wakiwa Gaza wakipika chakula na kugawa

Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.

Hakuna shida ilimradi hawajilipui ni watoa sadaka..basi tunawapa hongera zao!
 
Uliwakuta wakishirikiana nao? Kwani walikuwa na mafunzo ya kijeshi? Kenge wewe!
Hamas sio wajinga waue mtu bila sababu, hamas sio walee makafiri wa kizayuni waliolaaniwa. Japo sina uhakika if wameuawa na majeshi ya Hamas wanaopigania haki. Kama ushahidi upo tuwekee hapa

“Oh God, grant victory to our brothers in Palestine and support the oppressed everywhere.” “Oh God, free the Muslim prisoners in Palestine and direct their steps.” - “Oh God, support the oppressed in Palestine and remove injustice and persecution from them."
 
watu weusi kwa kutukuza watu wa rangu hamjambo , hv zile rockets 5000 bila iron dome zilikuwa haziui watoto ? kama aliyekuwa mtoto wa kiongoz wa Hamas anasema hamas sio watu wema , wewe unabisha kama nan
 
Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.

Tabaraka Allah.
 
watu weusi kwa kutukuza watu wa rangu hamjambo , hv zile rockets 5000 bila iron dome zilikuwa haziui watoto ? kama aliyekuwa mtoto wa kiongoz wa Hamas anasema hamas sio watu wema , wewe unabisha kama nan
Unafahamu watoto wangapi wa Kipalestina wameuliwa na mazayuni tangu 1948?
 
je ulitaka wapalestina waachwe kuteka , kutesa na kuua watotowa kiyaudi ? ulitaka waachwe walipue makombora elf 5 kwa siku ndan ya Israel ? unaeza ntajia makosa ya Mollel na Mtenga mpk Hamas wakawaua ?

Wewe ninyan! pro ,hujitambui kwa waarab , afrika ina shida nying sana kuliko hao wanaowaona kama watumwa
 
Haijawahi kutkea hiyo usemayo, umuingilie mtu nyumbani kwake, akijitetea useme ni gaidi?

Hivi huwa hamsomi, hamuelewi, au ndiyo wale wale?
 
Hamna alotoa hela hapo.
Hao ni walala hoi tu wa mtaani
 
Back
Top Bottom