matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mbona kama pilau ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo sasa! Kutwa kujipendekeza kwa mwarabu
Wakati Janjaweed Arab Militias wanaua Waafrika huko Sudan husikii mtu akiwaombea hata Dua Msikitini ndio ujue nguvu ya Brain WashNdio hapo sasa! Kutwa kujipendekeza kwa mwarabu
Wakati Janjaweed Arab Militias wanaua Waafrika huko Sudan husikii mtu akiwaombea hata Dua Msikitini ndio ujue nguvu ya Brain Wash
Hakuna shida ilimradi hawajilipui ni watoa sadaka..basi tunawapa hongera zao!Wanaukumbi.
Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.
Msaada wa nyama ya kitimoto hayo maeneo unahitajika sana... 😋😋🐷🐖😂😂😂😇😆
God Bless Israel
Hamas sio wajinga waue mtu bila sababu, hamas sio walee makafiri wa kizayuni waliolaaniwa. Japo sina uhakika if wameuawa na majeshi ya Hamas wanaopigania haki. Kama ushahidi upo tuwekee hapaUliwakuta wakishirikiana nao? Kwani walikuwa na mafunzo ya kijeshi? Kenge wewe!
Jikite kwenye madaMbona hawaendi Darfur ambako Janjaweed Arab Militias wanachoma hadi Mashamba ili Waafrika wafe njaa?
View attachment 3000672View attachment 3000667
Hao Waarabu wa Tanzania mbona hawaendi Darfur kuwalisha Waafrika wenzetu ambao wanauwawa na Waarabu wenzao?
una uchungu na Gaza kuliko mSumbiji , una matatizo ya akilisi bora hao wenye asili ya kiarabu kuliko wewe usio kuwa na asili 😄
watu weusi kwa kutukuza watu wa rangu hamjambo , hv zile rockets 5000 bila iron dome zilikuwa haziui watoto ? kama aliyekuwa mtoto wa kiongoz wa Hamas anasema hamas sio watu wema , wewe unabisha kama nanHamas sio wajinga waue mtu bila sababu, hamas sio walee makafiri wa kizayuni waliolaaniwa. Japo sina uhakika if wameuawa na majeshi ya Hamas wanaopigania haki. Kama ushahidi upo tuwekee hapa
“Oh God, grant victory to our brothers in Palestine and support the oppressed everywhere.” “Oh God, free the Muslim prisoners in Palestine and direct their steps.” - “Oh God, support the oppressed in Palestine and remove injustice and persecution from them."
Tabaraka Allah.Wanaukumbi.
Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.
uislam ni bora kuliko uafrika , mtu mweusi anapaswa kuitwa nyan! amekuwa mtumwa wa tamaduni za kigeniNasubiri comment kwa wasiokua waislamu
Unafahamu watoto wangapi wa Kipalestina wameuliwa na mazayuni tangu 1948?watu weusi kwa kutukuza watu wa rangu hamjambo , hv zile rockets 5000 bila iron dome zilikuwa haziui watoto ? kama aliyekuwa mtoto wa kiongoz wa Hamas anasema hamas sio watu wema , wewe unabisha kama nan
sudan , somalia , msumbiji , drc na hata mali watu wanakufa ila mmeruka mpk bara jingine kwamba wenye bara lao ni hawana uwezo wa kudili na mambo yao ?Hongera kwao watanzania wenzetu
je ulitaka wapalestina waachwe kuteka , kutesa na kuua watotowa kiyaudi ? ulitaka waachwe walipue makombora elf 5 kwa siku ndan ya Israel ? unaeza ntajia makosa ya Mollel na Mtenga mpk Hamas wakawaua ?Unafahamu watoto wangapi wa Kipalestina wameuliwa na mazayuni tangu 1948?
Haijawahi kutkea hiyo usemayo, umuingilie mtu nyumbani kwake, akijitetea useme ni gaidi?je ulitaka wapalestina waachwe kuteka , kutesa na kuua watotowa kiyaudi ? ulitaka waachwe walipue makombora elf 5 kwa siku ndan ya Israel ? unaeza ntajia makosa ya Mollel na Mtenga mpk Hamas wakawaua ?
Wewe ninyan! pro ,hujitambui kwa waarab , afrika ina shida nying sana kuliko hao wanaowaona kama watumwa