Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

Kwanini Zanzibar hamtaki kujitoa?
Wazanzibari ni sawasawa na mal*yaaa anaye katikia mkunyenge huku ana piga kelele kuwa anabakwa na hataki kutoka ,maana rais wa tz ni mzenji kwanini asivunje muungano very stupiiid people
 
Jidanganye sasa
 
Us hawezi kumpiga mrusi wewe kijana,Urusi wanamiliki asilimia 15 ya silaha za nyuklia zote zinazopatikana duniani atamchapa mmarekani kama mtoto,hata hivyo US hawezi kuanzisha vita.
Haya ni maneno tu, atawekewa vikwazo vigumu ashindwe kiinteract na Dunia nzima. Na vikwazo haviwakuti wanajeshi pekee, ni mpaka raia wa kawaida.
 
Kutokana na janga la Ukraine. Ingependeza ndege yetu ikaenda kuwabeba watanzania waliopo huko ili kuepusha vifo.
 
Mwamba kashateka Nucler plant ya ukraine na wafanyakazi wake ,mbna Mbaya hii[emoji856]
 
Anga la Ukraine kwa sasa limetawaliwa na ndege za kijeshi, njia pekee watu wanayoitumia kuondoka Ukraine ni kwa usafiri binafsi kwenda nchi jirani...
 
Ucdhani Russia ni mwepesi hvyo ndugu tangu enzi na enzi America hajawah kuipiga moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…