Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

Wakileta fujo? Unajua maana ya fujo nini..kichwa chako kina ufunyi mdogo sana wakufikilia. Pole sana...unakazi kubwa kwa familia yako
 
SIKO INTRESTED SANA NA SIASA ZA KITOTO.

KUMBE KAZI YA JESHI LA POLISI NI KUTUMIA NGUVU
KUPIGA WAHALIFU,
KUWAVUNJA
KUUA.
KUWATUPA MAPORINI
NK.

MUNGU AWASAMEHE HAWAJUI WALITENDALO.
Halafu mtu mwenye damu na kuzaliwa anachekelea,UDHALIM!Aibu
 
jikite kwenye hoja na maumivu wanayoyapitia wale wanateseka kwa majeraha na kutesa familia zao kwa mzigo wa gharama za matibabu huko nyumbani
Hata wewe jiulize hao wanao toa maelekezo kuwa watanganyika wapigwe na kuuliwa je?ni kweli kabisa Wana nia ya dhati kabisa ya kutetea maslahi ya taifa kwa faida ya serikali na watu wake au wanatetea na wanalinda uchumi na mali zao nawalizo chuma na wanazo endelea kuzichuma kwa ufisadi ndani ya taifa?
 
tuwaombee majeruhi wote wapate ahueni ya mapema na kuwashauri kuepuka kubebwa ufala kifikra na kuchochewa kufanya mambo ya kilofa yanayowaumiza wenyewe binafsi na familia zao 🐒
Tuwaombee huku tukisema wamepiga kwa Amri ya SM!
 
Kwa upuuzi unaouandika mtu anaweza kujikuta anakutukana bila kutegemea😡😡😡😡
 
Mkuu tunaendelea vizuri japo tayari tuna experience ya kuvunjika mifupa ya miguu kiafya tunaendelea vyema.

Tunakushukuru Sana Kwa kutujulia Hali .Hakika upinzani kamili unatoka ndani ya CCM
ni muhimu zaidi wakati mwingine kuchuja mnachochewa na nani na kwa manufaa ya nani kisiasa huku mkijua kabisa kuleta fujo kinyume na sheria,
Chujeni vizuri mabo haya ili kuepuka kuumizwa zaidi na penginge kupoteza maisha kilofa tu na hatimae kupeleka zawadi ya msiba nyumbani na pengine kuzidisha umaskini zaidi kwa famili yake
 
Ccm inataka kucheza mpira na timu nyingine wakati Firimbi imeishika yenyewe. NO REFORMS NO ELECTIN. Mwaka huu ni zamu ya ccm kuisoma namba na huyo mshangazi wenu wa Kizimkazi
Mbona hukutokea Kisutu wewe keyboard warrior?
 
Kwa upuuzi unaouandika mtu anaweza kujikuta anakutukana bila kutegemea😡😡😡😡
gentleman,
daima siwezi hata kidogo kuacha kueleza mambo ya msingi na ya ukweli eti kwa sababu tu fulani ni hodari wa kuporomosha matusi,

hiyo ni useless dhidi ya ukweli mtupu gentleman
 
Kejeli hizo kwa kweli madaraka yanalevya …
achana na fikra za kidini gentleman kwasababu majeruhi ni waTanzania bila kujali imani zao za kidini.

undini ni nonsense kwenya mambo haya gentleman
 
gentleman,
daima siwezi hata kidogo kuacha kueleza mambo ya msingi na ya ukweli eti kwa sababu tu fulani ni hodari wa kuporomosha matusi,

hiyo ni useless dhidi ya ukweli mtupu gentleman
Hebu kausha na nduguyo Mwashambwa kaona hoja zenu mnajiharibia kwa ndugu zenu na kwa umma!Kuhamia kwenye kimpumu,raha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…