Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Unapuyanga na kivuli chako! Moyo unataka,domo linaongea ya kupotoka!achana na fikra za kidini gentleman kwasababu majeruhi ni waTanzania bila kujali imani zao za kidini.
undini ni nonsense kwenya mambo haya gentleman
Unajuaje kama hakutokea?Ccm inataka kucheza mpira na timu nyingine wakati Firimbi imeishika yenyewe. NO REFORMS NO ELECTIN. Mwaka huu ni zamu ya ccm kuisoma namba na huyo mshangazi wenu wa Kizimkazi
gentleman,Kila uovu hulipwa muda wake ukiwadia
my friends, ladies and gentleman,Nchi ishakuwa ngumu hii👿
Dogo,wanasiasa vibaka
Siku zenu zaja tusijekupangiana namna ya kuombolezaFamilia zao ndizo zinahangaika nao baada ya kubondwa barabara na polisi
Keyboard warrior mbona Kisutu hukwenda?Siku zenu zaja tusijekupangiana namna ya kuomboleza
Gentleman,Dogo,
Wanasiasa VIBAKA ni wale wanaopora na kuiba uchaguzi.
Zingatia hilo
Tone tone,no reform no election, full stop!Gentleman,
samahani kwa maelezi marefu buti ni dawa hiyo kwa wadau,
Mwanasia kibaka ni yule anaekutapeli pesa zako badala ya kusomesha wanao, anataka eti umchangie yeye apate pesa ya kununuli gari, wisky na nyama choma astarehe huku anakuhadaa kua anakutetea,
Lakini pia anakutapeli kifikra ukafanye mambo haramu ili upigwe na uumizwe au kupoteza maisha kabisa ili yeye atumie maumivu na msiba wako kama jukwaa la kisiasa ili ikiwezekani wapate madaraka kwa manufaa ya familia yake,
mbaya zaid mwanasia tapeli anakubeba ufala kifikra,
huku familia yake na watoto wake wakiwa ngambo wanakula maisha huku yeye akitembea na tiketi ya ndege mkononi, akiashiria kwamba wakati wowote mambo ikiharibia anakwea pipa na kutokomea kwa mabwenyenye yananyomfadhili huku wewe kapuku ukiendelea kutaabika kwa ulofa wako
Steering huwa haogopi majeraha!relax gentlema,
una taarifa zozote za maendeleo ya walioleta fujo na kuumizwa gentleman au hauna?
Wapo wanakuonea tuu huruma kwa kazi ya Uchawa!sina haja na sterling wa vurugu gentleman,
natamani kufahamu maendeleo yao kiafya au wametelekezwa na waliowachochea kwenda kufanya fujo?
kwa nia njema tu
Sasa huna haja na hao mastering wanataka Habari zao ili iweje?!Umepeleke taarifa zao tayari kwa malipo!Wapo wanakuonea tuu huruma kwa kazi ya Uchawa!