Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

Sidhani kama Una Nia njema na yeyote unayedai unamuibea huruma kwa yaliyotokea Kisutu. Kwanza, kuna MTz aliyeenda kuleta vurugu mahakamani? Kwamba WaTz umewafanya ni wajinga , katika sehemu ya kwenda kufanya vurugu ni mahakamani?!

Acha unafiki, weka wazi umefarijika kwa WaTz kuteswa, kupigwa na kuumizwa, pengine kuna waliofariki!
 
Sasa huna haja na hao mastering wanataka Habari zao ili iweje?!Umepeleke taarifa zao tayari kwa malipo!
nadhani kila mdau angependelea kufahamu yule kamanda mbibi anaendeleaje?

huenda aligombezwa sana aliporudi kwa watoto na wajukuu zake wananomlea
 
Wameyataka wenyewe.
Mke wa Lisu na Lema wao wapo nje ya nchi halafu wewe unakuwa kimbelembele....unaumizwa kijinga. Ovyo kabisa.
Mwambieni Lisu na Lema watangulize familia zao kwanza kama wata thubutu.
 
Mliambiwa msiende kilichowapeleka nini?
 
ikiwa hawakua wanaenda kisutu basi huenda walikua wanakusudia kupora maofisi, maduka na watu waliokua wanaendelea na shughuli zao maeneo hayo, right?
 
Wameyataka wenyewe.
Mke wa Lisu na Lema wao wapo nje ya nchi halafu wewe unakuwa kimbelembele....unaumizwa kijinga. Ovyo kabisa.
Mwambieni Lisu na Lema watangulize familia zao kwanza kama wata thubutu.
inasikitisha sana gentleman dah
 
nadhani kila mdau angependelea kufahamu yule kamanda mbibi anaendeleaje?

huenda aligombezwa sana aliporudi kwa watoto na wajukuu zake wananomlea
In the matter of fact your mother is now hallucinating, you can read the face she needs more Valium to keep her calm!

And understand that she just ended her meta pause
 
Sema walioteswa na kutupwa porini wanaendeleaje?
 
Unajidharaulisha bila kujua,maskini!
huenda yule mbibi kamanda,
hata wajukuu zake watamdharau zaidi ya watoto wake alio waibisha sana kwa kubebwa ufala na vibaka wa kisiasa
 
Rekebisha kichwa Cha habari kisomeke watanzania wazalendo waliokuwa wanapigania haki Kwa kupinga maovu ya ccm wanaendeleaje baada ya polisi wasiofuata PGO kuwapiga wapigania haki
 
Qmmmko
 
Panya Road
 
Pig
jikite kwenye hoja na maumivu wanayoyapitia wale wanateseka kwa majeraha na kutesa familia zao kwa mzigo wa gharama za matibabu huko nyumbani
Piga panya road hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…