Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
PigUpendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.
Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?
Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.
Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.
Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Piga panya road haojikite kwenye hoja na maumivu wanayoyapitia wale wanateseka kwa majeraha na kutesa familia zao kwa mzigo wa gharama za matibabu huko nyumbani
Piga panya road haoWakileta fujo? Unajua maana ya fujo nini..kichwa chako kina ufunyi mdogo sana wakufikilia. Pole sana...unakazi kubwa kwa familia yako
Piga panya road haoUnapuyanga na kivuli chako! Moyo unataka,domo linaongea ya kupotoka!
Tandika panya road haoSidhani kama Una Nia njema na yeyote unayedai unamuibea huruma kwa yaliyotokea Kisutu. Kwanza, kuna MTz aliyeenda kuleta vurugu mahakamani? Kwamba WaTz umewafanya ni wajinga , katika sehemu ya kwenda kufanya vurugu ni mahakamani?!
Acha unafiki, weka wazi umefarijika kwa WaTz kuteswa, kupigwa na kuumizwa, pengine kuna waliofariki!
Sana mpaka aibuKejeli hizo kwa kweli madaraka yanalevya …
Tandika panya road haoSana mpaka aibu
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.
Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?
Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.
Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.
Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Na huyu anayeiba Chaguzi?Huyu 👇 jamaa ndiye aliwaponza. Aliwaalika waende wote kukinukisha. Wakataka wajazane mamia kwenye chumba cha watu 50 tu. Wafuasi wakaingia mkenge bila kuchanganya na zao, halafu yeye akagoma kwenda!
Ilikuwa fursa yao kufanya uhalifu na viongozi wao wanajua hilo. Tulipongeze jeshi letu la polisi kwa kazi nzuriUpendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.
Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?
Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.
Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.
Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ni muhimu mno kwakweli gentleman,Ilikuwa fursa yao kufanya uhalifu na viongozi wao wanajua hilo. Tulipongeze jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri
Goodtuwaombee majeruhi wote wapate ahueni ya mapema na kuwashauri kuepuka kubebwa ufala kifikra na kuchochewa kufanya mambo ya kilofa yanayowaumiza wenyewe binafsi na familia zao 🐒
Sasa amewaponza wenzie wametenguliwa viuno na miguu, wakati yeye amepoza tu anakula kodi zetu kwa mrija huko ukonga 😢Na huyu anayeiba Chaguzi?
Safi kabisa,huyu ni CHAWA!Rekebisha kichwa Cha habari kisomeke watanzania wazalendo waliokuwa wanapigania haki Kwa kupinga maovu ya ccm wanaendeleaje baada ya polisi wasiofuata PGO kuwapiga wapigania haki
Ukute unafamilia,watoto hawaelewi darasani,unauliza wametoa wapi umbumbu,?! Kumbe mzazi mwenyewe Ndio wewe!Piga panya road hao
Gharama za UKOMBOZI wala uskonde.Sasa amewaponza wenzie wametenguliwa viuno na miguu, wakati yeye amepoza tu anakula kodi zetu kwa mrija huko ukonga 😢
Sasa ndio wajifunze , shida wafuasi wa Lissu nao ni vichaa kama yeye!!Familia zao ndizo zinahangaika nao baada ya kubondwa barabara na polisi
Ha ha ha ha ha ha ndio mnavyowadanganya!! Nchi hii ilikwishakombolewa na baba wa Taifa na Marehemu KARUME, hawa wapumbavu wenzako wanatumia vibaya neno ukombozi, kwani ukombozi ni lazima Chadema ipate Madaraka?? Ovyo kabisa nyie ati ukombozi, upi sasa labda kukomboa mashoga wakadinyane kama mwenzenu aliyepata mume Ubelgiji.Gharama za UKOMBOZI wala uskonde.