Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

Kwa Tanzania kwa sasa kuna kampuni 2 tu za induction cooker zote zinafanya vizuri

Positive cooker ni Watanzania
ECOA hawa ni Wakenya

Uzuri haya ya Tanzania yana ruzuku ya shirika la UNDP hivyo bei yake iko chini ukilinganisha na ECOA ya Kenya

Usijichanganye ukaenda kwingine zaidi ya kwa mawakala wao

Ukienda Kariakoo utaishia kuuziwa majiko ya infrared watakwambia ndio induction hawajui tofauti ya induction na infrared cooker

Kwa kifupi Kariakoo hakuna majiko ya induction
Asante,,, umenipa madini sana!!! nimewasiliana na hao wa Arusha.
 
BAADA YA UFUNGUZI WA BWAWA LA ML. NYERERE NILITARAJIA UMEME USHUKE CHINI SANA ILI KILA MTANZANIA AWEZE KUTUMIA KUPIKA TENA KWA GARAMA NAFUU ILI KUOKOA MISITU NA KUEPUKA KUBEBA MAMITUNGI LAKINI WAPI NDIO KWANZA KAMPUNI ZA GESI ZINAONGEZEKA
 
1000103879.jpg

Nitapata wap induction+gas kama hii
 
Na siku hizi majiko ya umeme simple na ambayo matumizi yake ya umeme sio makubwa yako mengi tu. Bei iko reasonable

Watanzania wanathamini sana flat screens sijui wamerogwa
Kunawatu wakija kwako wakaona una nch 32 au hauna flat wanaona ww ni maskini wa mwisho Tv imekushinda
 
Induction ni teknolojia mpya ya majiko janja ya umeme yanafanya kazi kwa mfumo wa electromagnetic.

Kwa matumizi ya nishati ya umeme ni rafiki sana na yako yanatengeneza heat haraka sana kuliko yale ya traditional electric cooker.

View attachment 3464756
Unazungumzia nchi gani au mkoa gani? Mimi nipo Dar ambao natakiwa nipate umeme volt 240 50Hz, hakuna siku nimepata hizo, ni napata volt 190 na hz zisizoelewka! Vifaa vote nitumiavyo ni kati ya volt 220 mpaka 240 Hz50, usipopata umeme wa kiwango hicho ni wazi utatumia umeme mwingi na muda mrefu kufanikisha unalolifanya, pia, umeme niupatao hukatika katika kila baada ya dakika kadhaa, sijui utapika kitu gani kwa mikatiko hiyo!
Sera yetu ya umeme haizingatii viwango rasmi tunavyotakiwa tupate, inazingatia kupatikana umeme kwa kiwango chochote ili miradi upo, mengine utajiongeza mwenyewe, ukweli ni umeme hakuna tija kwa sababu wameachiwa watu wasio na ujuzi kuhusu umeme, wameachiwa wasimika nguzo, wafunga mita na waya, na ukweli ni kwamba hakuna siku utawaona wakifanya matengenezo wakiwa na vifaa vya kupima viwango vya meme Unaoingia na kutoka na kwenye transifoma zao.
 
Unazungumzia nchi gani au mkoa gani? Mimi nipo Dar ambao natakiwa nipate umeme volt 240 50Hz, hakuna siku nimepata hizo, ni napata volt 190 na hz zisizoelewka! Vifaa vote nitumiavyo ni kati ya volt 220 mpaka 240 Hz50, usipopata umeme wa kiwango hicho ni wazi utatumia umeme mwingine na muda mrefu kufanikisha unalolifanya, pia, umeme niupatao hukatika katika kila baada ya dakika kadhaa, sijui utapika kitu gani kwa mikatiko hiyo!

Line yenu au transformer zimezidiwa
 
Line yenu au transformer zimezidiwa
Wewe ndiye mtaalamu wa TANESCO! Kwa hiyo nikatengeneze mimi! Au nikaweke transifoma nyingine! Nilidhani wa husika wanapima kiwango cha umeme baada ya kuunganisha nyumba zinazotumia transifoma husika! Najua hawa walikifunga chuo chao kwa sababu hawakujua muhimu wake.
Naomba usijibu vitu ambayo havitoi suluhisho, unanitupia zigo ambao hata wewe hauliwezi na huenda hauna elimu yake.
Kwa kifupi nyumba nyingi nchini zinapata angalau kiwango kinachotakiwa ifikapo saa nne usiku na kuendelea pamoja na kukatika katika muda wote.
 
mimi sio mfanyakazi wa tanesco mkuu, mimi nimeweka maoni, kama idea umeikubali unawapigia tanwsco kuwaulizia utatuzi wa suala hilo. --- kama unaona noma basi tuendelee tu kulalamika majukwaani humu.
 
Unazungumzia nchi gani au mkoa gani? Mimi nipo Dar ambao natakiwa nipate umeme volt 240 50Hz, hakuna siku nimepata hizo, ni napata volt 190 na hz zisizoelewka! Vifaa vote nitumiavyo ni kati ya volt 220 mpaka 240 Hz50, usipopata umeme wa kiwango hicho ni wazi utatumia umeme mwingine na muda mrefu kufanikisha unalolifanya, pia, umeme niupatao hukatika katika kila baada ya dakika kadhaa, sijui utapika kitu gani kwa mikatiko hiyo!
Sera yetu ya umeme haizingatii viwango rasmi tunavyotakiwa tupate, inazingatia kupatikana umeme kwa kiwango chochote ili miradi upo, mengine utajiongeza mwenyewe, ukweli ni umeme hakuna tija kwa sababu wameachiwa watu wasio na ujuzi kuhusu umeme, wameachiwa wasimika nguzo, wafunga mita na waya, na ukweli ni kwamba hakuna siku utawaona wakifanya matengenezo wakiwa na vifaa vya kupima viwango vya meme Unaoingia na kutoka na kwenye transifoma zao.
TANESCO
 
mimi sio mfanyakazi wa tanesco mkuu, mimi nimeweka maoni, kama idea umeikubali unawapigia tanwsco kuwaulizia utatuzi wa suala hilo. --- kama unaona noma basi tuendelee tu kulalamika majukwaani humu.
Tatizo la umeme mdogo si la leo, linajulikana miaka na miaka toka wakati wa mita za kusomwa, haina ufumbuzi kwa sababu TANESCO haina wajuzi japo wa nadhani sisi hatuujui umeme.
 
Hapo nimekupata mkuu, na nakubaliana na wewe kwamba tanesco hizo issue wanafahamu, kurekebisha hilo tatizo inategemea mambo mawili. 1. ufuatiliaji wenu 2. Tanesco kua na nia na mipango na eneo husika , nakusihi jitahidi kufuatilia kwa kupiga namba 180
 
Ufuatiliaji wetu! Uwepo wa umeme mdogo TANESCO ndio wanaonufaika na ndicho chanzo cha watu kulalamika kuwa units zinakwisha haraka kumbe muda unaotumia kupinga pasi mpaka nguo inyooke ni mrefu, au mpaka chakula kiive ni mrefu kwani vifaa vyako havipati volt 240 50hz.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Xi Jinping Asante sana... Nimejipatia jiko langu niseme tu yako vizuri mnooooo. Humu ndani imekuwa ugomvi wa kupika,,, techologia ni superb yaani sufuria haipati moto unaset time watoto wangu Wana enjoy.
Usingekuwa kataa ndoa wallah! Ningekupa mdogo wangu wa mwisho😜😜😜 Hana mtoto lakini bikra haipo💃💃
 
Wamekataa pia na mashine za kufulia unakuta mtu anaishi nyumba ya million 30 lakini mashine 500k hawezi kununua anasema atalemaa oo mara mashine inaharibu nguo.
 
Wasomi wetu watuelimishe machine sahihi tutakazoweza kuhimili kwa matumizi na kipato chetu.naamini wengi hatujazikataa ila tunakataa matumizi makubwa ya umeme
 
Xi Jinping Asante sana... Nimejipatia jiko langu niseme tu yako vizuri mnooooo. Humu ndani imekuwa ugomvi wa kupika,,, techologia ni superb yaani sufuria haipati moto unaset time watoto wangu Wana enjoy.
Usingekuwa kataa ndoa wallah! Ningekupa mdogo wangu wa mwisho😜😜😜 Hana mtoto lakini bikra haipo💃💃
🤣🤣🤣 kwani kataa ndoa hatuna upwiru jamani kichupa kinajaa oil lazima imwagwe, niunganishe na pisi hiyo hata kwa chumvi tunarumangia tu nicheki pm

Hongera sana leo dada enjoy
 
Wamekataa pia na mashine za kufulia unakuta mtu anaishi nyumba ya million 30 lakini mashine 500k hawezi kununua anasema atalemaa oo mara mashine inaharibu nguo.
Nyumba ya milioni 100 umeme ukikatika hana hata solar panel au jenereta
 
Back
Top Bottom