Kweli kabisa, mfano TANESCO, Hawataki kutoa ile tariff ya matumizi madogo, ambapo unaishia unit 75 kwa mwezi na gharama ni Tshs. 9,000/=, wanasema ni ya vijijini tu, ilhali mtu wa mjini anayelipa elfu 25 kwa mwezi (ambayo ni matumizi kwa nyumba nyingi za Tanzania) anakua amepata unit 70, hivyo angequalify kabisa kupata ile tarrif ya watumiaji wadogo. Lakini TANESCO haohao wanawapa wafanyakazi wao unit 50 bure kila mwezi.Tanzania inawaandaa watu waishi maisha ya kimasikini hata kama wana ajira unakuta mtu anajibana balaa kwa kila matumizi yake na pesa anayo kwa sababu ameandaliwa hivyo ni Watanzania wachache utawakuta wanaishi maisha wanayotaka wao maana serikali imewabana mno ila hao wanaokuja kukukagua wao wapo gorofani na wanalipia kidogo tu..
Hizi Tanzania huwezi kupata lakini zipo kwa wenzetuView attachment 3545957
Nitapata wap induction+gas kama hii
si kweli, wafanyakazi wananunua pia, japo kwa bei kitongaTANESCO haohao wanawapa wafanyakazi wao unit 50 bure kila mwezi
Labda kama wameanza janasi kweli, wafanyakazi wananunua pia, japo kwa bei kitonga
🤣🤣 Ananunua kifaa halafu anapiga mkwara kisitumike. African parents 😬Ninachojua wanaogopa kulipuka
Mzee alinunua jiko la umeme sikuwahi kuona likitumika
Ni kwamba bi mkubwa aliita watoto wake jikoni akapiga mkwara wa kwenda😁😁
hakuna anapata umeme wa bure huko, for yearsLabda kama wameanza jana
Mkuu, unaweza vipi kutoa proof kuwa wanapewa umeme?? Unataka nilete mita namba au vipi? Au wewe unaweza vipi kuleta proof kuwa wananunua umeme kwa bei kitonga kuliko wengine?hakuna anapata umeme wa bure huko, for years
kama kitu hujui ni bora ukaushe kuliko kupotosha
"Majiko ya umeme masharti sana kama watu wenye mimba"
Ila ukienda kununua flat unaangalia tamthilia, movies au soka husemi mara Tanesko wamefanya yao chap.
Ni nani aliyewaroga?