Kweli kabisa aisee. Yaani watu tungeweza kabisa kununua magari ya kisasa, kuishi kwenye makazi bora na tukalipa kodi vizuri kabisa, ila serikali ndio hivyo inapambana sana kuhakikisha tunaishi kimaskini kiasi tunaogopa hata kununua majiko ya umeme. Juzi nimenunua mafuta ya Taa, lita 1 ni Tshs. 4,000/= hapa Dar, sasa haya mafuta ndio yalikuwa msaada kwa wanavijiji huko ndichi ambako REA hakuna mpaka leo wala hawawezi kununua mitungi ya gesi. Wataweza kweli kununua mafuta ya taa kwa jinsi yalivyo ghali?Tanzania inawaandaa watu waishi maisha ya kimasikini hata kama wana ajira unakuta mtu anajibana balaa kwa kila matumizi yake na pesa anayo kwa sababu ameandaliwa hivyo ni Watanzania wachache utawakuta wanaishi maisha wanayotaka wao maana serikali imewabana mno ila hao wanaokuja kukukagua wao wapo gorofani na wanalipia kidogo tu..
Si ndio standard. Jiko la single burner, induction cooker linakula watt 1600 huko, sasa utakua na jiko la single burner kwenye modern home?
Nikiwa na gesi au mkaa ,uhakika wa kupika na kuivisha ni 100% ila kwa Umeme ni mashaka!Ukiwa unapika. Lakini pia licha ya mapungufu ya umeme wa Tanesco muda wa umeme kuwepo ni mwingi hivyo haiwezi kuathiri kivile kwenye mapishi. Ukikata hapo unacheza na gesi au mkaa. Chakula lazima kiliwe
Electrical appliances bongo ni ishu tunaua vision ya macho kwa kutumia TV ambazo hazina ubora mpaka leo tupo busy kuuliza ipi TV nzuri au pasi nzuri kwa sababu kodi zake zipo juu sana watu wanapoteza muda kwa kufua nguo kwa mikono kwa sababu hizo washing mashine ni anasa ukimwambia mzawa zipo za mashine za kuosha sahani tena bei ndogo mzawa hawezi kuamini vitanda tunatumia vyenye magodoro ya kunesa watu wengi tuna matatizo ya migongo tukidhani ni umri kumbe ni kutumia vitu visivyo na ubora kwa muda mrefu wanaotakiwa kusimamia ubora wapo busy na vitu vya hovyo hovyo macro Johannesburg huwa wanakua na Friday sale bei inakua sawa na bure kabisa kwa vitu ambavyo Tanzania kuvipata mpaka utoe jasho kweli ila nunua kipeleke Tanzania watakuja watu kukikagua hapo ili mradi ushindwe kulipia tu harafu wao wapate bure..Kweli kabisa aisee. Yaani watu tungeweza kabisa kununua magari ya kisasa, kuishi kwenye makazi bora na tukalipa kodi vizuri kabisa, ila serikali ndio hivyo inapambana sana kuhakikisha tunaishi kimaskini kiasi tunaogopa hata kununua majiko ya umeme. Juzi nimenunua mafuta ya Taa, lita 1 ni Tshs. 4,000/= hapa Dar, sasa haya mafuta ndio yalikuwa msaada kwa wanavijiji huko ndichi ambako REA hakuna mpaka leo wala hawawezi kununua mitungi ya gesi. Wataweza kweli kununua mafuta ya taa kwa jinsi yalivyo ghali?
Hapana kwa Tanzania unless unalinganisha na Bure (kijijini kuokota kuni) basi ndio itakuwa juu Ingawa kijijini Tariff Zero ni 100/= per Unit; kwahio kwa Tanzania Umeme upo chini kwa sasa in comparison na gesiGharama ya umeme ipo juu kidogo Tanzania ingawaje ukitumia kama backup sio mbaya
Kiwanja sio kwamba unalipia ukitumia umeme kiwanja unalipia regardless ila Umeme ni platform ya kukusanya hizo 18,000/= kwa mwaka hivyo utumie usitumie utalipa hio pesa, na VAT hata ikiwekwa bado umeme is cheapermaana umeme huo huo unalipia kiwanja chako pia una VAT
Huo ndio upuuzi sababu kama wamesema kuna umeme ziada wangeweza kushusha zaidi hata Tshs 20/= per Unit ili tusitumie Kodi zetu kuagizia LPG ambayo ndio inatumika majumbani.... Tena sio Tshs 20/= hata watu wangeweza kupikia bure kwa umeme kwa kupata credit kwa kuwauzia Tanesco Umeme kwa wanaokusanya kwenye Solar Panels zaona wanatamani waweke Import duty ingawaje umeme ni wa kwetu wao wataweka tu na kusema unatoka Ethiopia maana wa Mtera una gharama sana Wabongo wakishapata madaraka sio watu kabisaa.
Sema yale hayo majiko yanahitaji sufuria zile ngumu upo sahihi mkuu toa elimu ili watu watoke waliko karirishwa.Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250
60kWh×Tshs 250 unapata 15,000
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Mkuu usitumie nguvu kunijibu nasema Tanzania umeme upo juu Tsh 5000 inanunua unit 98 Zambia wakati kwa Tanzania sijui utapata unit ngapi kwa hizi Nchi Zambia,SA na nchi zingine tunatumia umeme kwa kupikia,kuoga maji moto maji baridi na vitu vingine na unit utakazotumia kwa mwezi ni kawaida sio nyingi kama Tanzania ambako watu wanaotumia maji moto maji baridi ni wachache sana.Hapana kwa Tanzania unless unalinganisha na Bure (kijijini kuokota kuni) basi ndio itakuwa juu Ingawa kijijini Tariff Zero ni 100/= per Unit; kwahio kwa Tanzania Umeme upo chini kwa sasa in comparison na gesi
Nishati Safi ya Kupikia: Kwa Kutumia Tariff Zero (100 per Unit) Mpikiaji badala ya kutumia Gesi Ataokoa Tshs 206/= kwa kila unit
Yaani kila mwanakijiji au kama tukiamua wote wawe Tariff Zero kila mwenye Mtungi wa kujaza elfu 25 akienda kununua huyu wa umeme anasave elfu 16 au kwa maana nyingine ni kama mwenye umeme ananunua mtungi wa gesi kwa elfu nane. Hili lipo wazi kabisa swali ni kwamba kwanini kama Taifa tunapigia...www.jamiiforums.com
Kiwanja sio kwamba unalipia ukitumia umeme kiwanja unalipia regardless ila Umeme ni platform ya kukusanya hizo 18,000/= kwa mwaka hivyo utumie usitumie utalipa hio pesa, na VAT hata ikiwekwa bado umeme is cheaper
Huo ndio upuuzi sababu kama wamesema kuna umeme ziada wangeweza kushusha zaidi hata Tshs 20/= per Unit ili tusitumie Kodi zetu kuagizia LPG ambayo ndio inatumika majumbani.... Tena sio Tshs 20/= hata watu wangeweza kupikia bure kwa umeme kwa kupata credit kwa kuwauzia Tanesco Umeme kwa wanaokusanya kwenye Solar Panels zao
Nishati Safi ya Kupikia (Ushauri kwa Watunga Sera)
Kama Mwananchi nimeamua kufanya my Civic Duty..., Tumepata bahati sana wakati huu Dunia nzima imejikita kwenye Nishati Safi, hivyo kuna Pesa za Kumwaga ambazo either tutazitumia vizuri na kuwanufaisha wananchi na vizazi vijavyo kwa kujenga / kuanzisha kitu ambacho kitatusaidia milele na milele...www.jamiiforums.com
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
Unapika nini kwa kutumia watt 2000 hapo na uki convert hizo watt 2000 kwenye gesi ni kama umetumia lita ngapi ?Tuseme Jiko la umeme lina Watt 2000 japo ni kadogo kwa umbo ukikawasha ni kama umewasha TV kumi za inchi 65 kwa pamoja. Tuchukulie hauna matumizi mengi Unatumia kwa masaa mawili kwa siku ni unit 4, kwa mwezi unit 120 ambao ni umeme wa kama 50,000!
Bongo bei ya umeme haipishani na nchi za mabeberu wakati average income tunatofautiana pakubwa sana.
Tshs. 5,000 hapa Tanzania unapata unit 14 mkuu kwa tarrif ambayo ndio tupo watanzania wengiMkuu usitumie nguvu kunijibu nasema Tanzania umeme upo juu Tsh 5000 inanunua unit 98 Zambia wakati kwa Tanzania sijui utapata unit ngapi kwa hizi Nchi Zambia,SA na nchi zingine tunatumia umeme kwa kupikia,kuoga maji moto maji baridi na vitu vingine na unit utakazotumia kwa mwezi ni kawaida sio nyingi kama Tanzania ambako watu wanaotumia maji moto maji baridi ni wachache sana.
Yes Umeme Tanzania ni Gharama kulingana na kwamba unaweza ukashuka sababu kuna vyanzo vingi ila haupo juu kushinda gesi, Gesi ipo juu zaidi ila ndio hivyo propaganda za wauza GesiMkuu usitumie nguvu kunijibu nasema Tanzania umeme upo juu Tsh 5000 inanunua unit 98 Zambia wakati kwa Tanzania sijui utapata unit ngapi kwa hizi Nchi Zambia,SA na nchi zingine tunatumia umeme kwa kupikia,kuoga maji moto maji baridi na vitu vingine na unit utakazotumia kwa mwezi ni kawaida sio nyingi kama Tanzania ambako watu wanaotumia maji moto maji baridi ni wachache sana.
Zambia kununua umeme hauna kodi ndio maana wanapata unit nyingi na pia hizi nchi mtu akiondoka nyumbani kuzima taa sio big ishu kama Bongo mtu anaweza kurudi kisa kasahau kuzima taa mbili sio kwa sababuya usalama hapana kwa sababu ya bill ya Tanesco.Tshs. 5,000 hapa Tanzania unapata unit 14 mkuu kwa tarrif ambayo ndio tupo watanzania wengi
Na kwa gesi elfu tano unapata Units ngapi ? Ukiweka na ufanisi wa vyombo vya umeme sasa hivi plus Kodi yako ambayo inalipwa kama ruzuku sababu ya gesi utajikuta kwamba kama Mtanzania unakuwa short changedTshs. 5,000 hapa Tanzania unapata unit 14 mkuu kwa tarrif ambayo ndio tupo watanzania wengi
Mimi nilijua hili muda kidogo nilifanya kunua majiko tofauti ili nione lipi litakua na matumizi kidogo nikayapata baadhi ndio natumia huko gharama ya gesi ipo juu sana kuliko kutumia majiko sahihi ya umeme na pia watu hawapati elimu ya kutosha ili watu wachache wenye ubia na makampuni ya gesi waendelee kupata pesa..Yes Umeme Tanzania ni Gharama kulingana na kwamba unaweza ukashuka sababu kuna vyanzo vingi ila haupo juu kushinda gesi, Gesi ipo juu zaidi ila ndio hivyo propaganda za wauza Gesi
Tanzania Unit kwa Tariff Zero ambapo ndio wanagawiwa mitungi bure ili waweze kuingia kwenye hii Biashara ya watu ni kwamba Kwa Tshs elfu Tisa na Ushee unapata units 75; na wakati huo huo kwa gesi unit moja ni kama mia tatu na ushee
Kwahio point yako kwamba wanatumia umeme sababu ya gharama ya umeme ni void ab initio; ofcourse ni kweli kama wanatumia kuni sababu ni bure..., ila kama wanatumia gesi ni kutokana na miss information
Naangaliaga tamthilia ya Mpali DSTV, unakuta nyumba za vijijini kabisa huko Zambia wanatumia majiko ya umeme (Oven).Zambia kununua umeme hauna kodi ndio maana wanapata unit nyingi na pia hizi nchi mtu akiondoka nyumbani kuzima taa sio big ishu kama Bongo mtu anaweza kurudi kisa kasahau kuzima taa mbili sio kwa sababuya usalama hapana kwa sababu ya bill ya Tanesco.
Naunga mkono hoja amevuka mipakaPesa zetu, upange cha kuzinunulia wewe!!
Tena na unatutukana kabisa. Mnunulie mama yako na ndugu zako wqnatosha.
Ndugu yangu mmoja amesoma pale anasema Tanzania mnapata hela kama Nchi masikini ila matumizi yake ni ya ki Hong Kong vitu vipo juu mno wao mambo ya router home ni muda mrefu kodi ya hilux haizidi Tsh 8m wakati ukija nalo Tanzania utaliacha boda na wana sheria ya kunyang'anya mali ukishindwa kulipia kodi ndio limeenda hilo ukiangalia hata Bus analopanda mzambia kusafiri ni tofauti na sisi ingawaje wao wameamka juzi tu kwenye usafirishaji wa abiria walikua wanaenda mjini kulishangaa Scandinavia bus wao leo wapo na series Ir 8 iriza body.Naangaliaga tamthilia ya Mpali DSTV, unakuta nyumba za vijijini kabisa huko Zambia wanatumia majiko ya umeme (Oven).
Ukimtukana/kumdharau mzazi wa mtu mwingine ni sawa na kumtukana mzazi wako sema hii kujua inategemeana umelelewa kwenye mazingira gani..Pesa zetu, upange cha kuzinunulia wewe!!
Tena na unatutukana kabisa. Mnunulie mama yako na ndugu zako wqnatosha.