Tatizo la eneo lenu litakuwa low voltage vitu kama Microwave, Jug, washing machine, vaccuum cleaner vinaweza kuwa high powered devices jaribu kuita wataalamu waeleze tatizo lipo wapi...Nikufahamishe tu, chombo chochote cha umeme kisipopata kiwango sahihi cha umeme unaotakiwa ujue kitakuongezea gharama ya umeme na kukutia hasara, na hii hata hayo majiko ya mfumo wa kisasa.
Kama ni hivyo basi jiko la umeme lina gharama kubwa sana.Umeandika vyema sana!
Na hayo majiko ya watts 1000 n k yanakufa haraka sana.
Jiko imara ni kuanzia 2.5kWh, na TANESCO wanakusubiri ujichanganye kwenye 18 yao.
Uzoefu ni mwalimu nzuri sana
Inatakiwa kuwa na jiko la umeme na backup ya gas, endapo umeme utakatika.Kama ni hivyo basi jiko la umeme lina gharama kubwa sana.
2.5kWh × masaa 2 kwa siku × siku 30 za mwezi = Unit 150
Unit 150 × Tsh 356.35562087 = Tsh 53,453.34313
Huku kwetu bei ya mtungi mkubwa wa gesi (butane 15 kgs) ni Tsh 54,000
Kwahiyo????Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 250 unapata 15,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Imagine! Gharama za kuendesha madude kama ewura, mara kodi za nyumba n.k, kuongeza mzigo kwa huyu mwananchi anahetumia chini ya unit 75.Ule umeme wa units 75 kwa TZS. 9,150 kwa mjini ulishafutwa! Sasa hivi wote tumerundikwa kwenye group moja. Nchi yetu hovyo sana!
Umeme ni mdogo wewe unaniambia itakuwa low voltage! nijaribu kuwaita wataalam! Nimesema umeme mdogo eneo lote sasa niwaite wataalam toka wapi! Tanesco kazi yao inaishia kwenye mita na wao wanajua kuwa kuanzia jioni umeme unapungua mpaka saa tano na kuendelea, unataka waniwekee transfoma yangu peke yangu?Tatizo la eneo lenu litakuwa low voltage vitu kama Microwave, Jug, washing machine, vaccuum cleaner vinaweza kuwa high powered devices jaribu kuita wataalamu waeleze tatizo lipo wapi...
Ila pia badala ya microwave jaribu kutumia vitu kama slow cooker, rice cooker na hata pressure cooker.
Na hili kumaliza hili tatizo kwa watu wetu wote ni kuhakikisha umeme unakuwa realiable na affordable na sio kuagiza LPG ughaibuni kwa Kodi zetu; (ndio hapo nilisema mikono ikichafuka tunanawa na sio kununua gloves)
Hesabu hizi ni sawa na zile za motivational speakers kwenye kilimo cha matikiti.kilimo cha kwenye makaratasi hakijawahi kulet hasara hat siku mojaGas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 250 unapata 15,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Kazi ya Tanesco inaishia kwenye Mita ? Sio kuhakikisha kila sehemu kunakuwa na umeme wa kutosha ? Yaani Shirika la Ugavi wa Umeme kazi yao ni kuishia kwenye mita na sio kila kinachofikishwa kwenye mita na kila sehemu kiwe kinatosha? Hapo kuna tatizo na tatizo lenu sio tatizo sawa na watanzania wengine kwahio ni jukumu lenu watu wa eneo kushurutisha na kuhakikisha hilo tatizo lenu linatatuliwa kwa kuanzia na Diwani wenu kufanya lobbying (sababu ni hatari kwa vyombo vyetu na inaweza kuleta hasara)Umeme ni mdogo wewe unaniambia itakuwa low voltage! nijaribu kuwaita wataalam! Nimesema umeme mdogo eneo lote sasa niwaite wataalam toka wapi! Tanesco kazi yao inaishia kwenye mita na wao wanajua kuwa kuanzia jioni umeme unapungua mpaka saa tano na kuendelea, unataka waniwekee transfoma yangu peke yangu?
Nafikri mleta mada anasema mtu unakuwa na back up. Unakuwa na gesi kwa ajili ya back up!
Vipato vyako ndivyo vimekua si vyetu. Nchi hii asilimia kubwa ya watu wake hata milo mmitato yenye lishe bora ni mtihani. Mnakuja humu na habari za majiko ya umeme? Hayo mnayamudu mliobarikiwa angalau kipato cha uhakikaJiko la umeme linakula umeme kiasi gani ukiamua kuchemsha bamia tu.?
Mana huu si wakati wa kutumia mkaa wakati vipato vyetu vimekuwa.
Ungerekebisha bandiko lako ili uwe specicfic ni watanzania wa kada ipi unaowaongelea.Mambo au vitu ambavyo Watanzania wengi wamekataa kabisa kuwa navyo katika nyumba zao
Washing machine, A.C, reading room, solar panels hasa wa mjini, heater n.k
Ongezea
Word...Kwa umeme huu wa tanesco? Tutakula chakula kibichi
Choo cha kukaa.Mambo au vitu ambavyo Watanzania wengi wamekataa kabisa kuwa navyo katika nyumba zao
Washing machine, A.C, reading room, solar panels hasa wa mjini, heater n.k
Ongezea
Hapa mtaani kwetu kalain kakuja kwetu kana mtindo wa kukatika kila ikifika sa moja jion kwa majirani unaona unawaka fresh tatizo lina week na hakuna anaejalKwani ukiwa unaangalia TV umeme ukakatika na Ukiwa Unapika chakula bado hakijaiva na umeme ukakatika wapi kuna maudhi makubwa? Japan walisherekea miaka 50 bila umeme kukatika lakini huku kwetu ukikaa siku nzima haujakatika unashangaa.
Watu wengi mpaka Leo bado wanaamini jiko la umeme linalozungumziwa ni Yale ya macoil ya duara au Yale ya hot plate. Mtu wa hivi huwezi muelewesha akaelewa.
Induction Cooker Haina mfano Wala kulinganishwa na chochote katika ufanisi na Ubora. Lakini usipo seti moto utajua hujui, lile ukibandika maji
yanauzwaje aya mkuu ?Watu wengi mpaka Leo bado wanaamini jiko la umeme linalozungumziwa ni Yale ya macoil ya duara au Yale ya hot plate. Mtu wa hivi huwezi muelewesha akaelewa.
Induction Cooker Haina mfano Wala kulinganishwa na chochote katika ufanisi na Ubora. Lakini usipo seti moto utajua hujui, lile ukibandika maji ukawasha tu hapo hapo unaona yanaanza kuchemka😂😂.. Magnetic so wonderful.
Umeme wa TANESCO sio reliable.Hapa mtaani kwetu kalain kakuja kwetu kana mtindo wa kukatika kila ikifika sa moja jion kwa majirani unaona unawaka fresh tatizo lina week na hakuna anaejal