MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
So shida ni umeme wetu. Au?Kupika taratibu kunatokana na kutopata umeme kiwango kinachotakiwa, yaani voti 230/240.
So shida ni umeme wetu. Au?Kupika taratibu kunatokana na kutopata umeme kiwango kinachotakiwa, yaani voti 230/240.
Transfoma zipo madukani, mfano pale mbeya niliona duka la mkulu wanauza hizo vituSasa kwa hsli hiyo unawezsje kupikia jiko la umeme? Tatizo hapa naona kuwa aliyeleta mada hana jiko la umeme hivyo hajui matatizo ya kikatika katika umeme na upungufu wake, na kisha snanishauri niwaambie Tanesco sijui waniwekee transfoma yangu peke yangu mtaani!
Hiyo Tsh 9,000 kwa unit 74 ni tarrif ipi hiyo. Nadhani (sina hakika sana) ukishaanza tumia vifaa vya umeme lazima uhamishwe tarrif, utapata unit 28 kwa Tsh 10,000. Kwa sababu piga ua kwa mwezi lazima utatumia zaidi ya unit 70, kuamishwa tarrif kutakuhusu.
Si kweliaina ya vyakula wanavotumia watanzania wengi havipo friendly na majiko ya umeme.. unawezaje kupika ugali wa muhogo kwenye induction cooker??!
Si kweliWengi wanalalamika majiko ya umeme yanapika taratibu ( moto wake sio instant kama gesi). Utakuta mtu ana jiko la gesi lina option ya umeme lakini haitumii. Binafsi sijajaribu.
Kodi za TRA kwa hivyo vitu sio kubwa inalipika maana unalipia kutokana na invoice uliyonunua unawaonesha wanapiga % zao hapo kama ni ndogo wanaongeza kidogo ila kodi za vitu naona zipo sawa shida ni magari ndio kodi zipo juu sana..Mkuu hapo msanzi ukinunua vitu kama majiko hayo ya induction, rotate chair n.k hivyo pale custom Tunduma kodi zinakuwa kubwa sana kama vitu ni vipya au ikoje
Okay sawa nikiwa fit nitakuchek coz niko mbeya town hapoKodi za TRA kwa hivyo vitu sio kubwa inalipika maana unalipia kutokana na invoice uliyonunua unawaonesha wanapiga % zao hapo kama ni ndogo wanaongeza kidogo ila kodi za vitu naona zipo sawa shida ni magari ndio kodi zipo juu sana..
Wenzetu mna raha, Unit Moja mnauziwa Tsh 100 - 250!. Huku Kijijini nilipo Unit Moja = Tsh 357.Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Wenzetu mna raha, Unit Moja mnauziwa Tsh 100 - 250!. Huku Kijijini nilipo Unit Moja = Tsh 357.
Na wewe vitu vingine tumia akili ya kawaida. Umeme ukikatika wakati mapishi hayajakamilika, kama hakuna mbadala, kuna uwezekano mkubwa ukashinda njaa. Lakini Umeme ukikatika wakati tamthilia ipo katikati, hiyo Siyo shida, nitaimalizia kuangalia hata Kesho.Ila ukienda kununua flat unaangalia tamthilia, movies au soka husemi mara Tanesko wamefanya yao chap.
Ni nani aliyewaroga?
Tumia gas au mkaa kumalizia kupikaNa wewe vitu vingine tumia akili ya kawaida. Umeme ukikatika wakati mapishi hayajakamilika, kama hakuna mbadala, kuna uwezekano mkubwa ukashinda njaa. Lakini Umeme ukikatika wakati tamthilia ipo katikati, hiyo Siyo shida, nitaimalizia kuangalia hata Kesho.
Tanbihi: Umeme Tanzania bado ni tatizo. Huwezi kuweka mzaha kwenye Masuala ya kula ukalinganisha na Masuala ya Television 📺
Nielekeze pa kuyanunua bossWatu wengi mpaka Leo bado wanaamini jiko la umeme linalozungumziwa ni Yale ya macoil ya duara au Yale ya hot plate. Mtu wa hivi huwezi muelewesha akaelewa.
Induction Cooker Haina mfano Wala kulinganishwa na chochote katika ufanisi na Ubora. Lakini usipo seti moto utajua hujui, lile ukibandika maji ukawasha tu hapo hapo unaona yanaanza kuchemka😂😂.. Magnetic so wonderful.
Tumia gas au mkaa kumalizia kupika
Flat screen kwaajili ya kumuona azizi kiNa siku hizi majiko ya umeme simple na ambayo matumizi yake ya umeme sio makubwa yako mengi tu. Bei iko reasonable
Watanzania wanathamini sana flat screens sijui wamerogwa
Umeongea jambo la msingi sana tatizo mzee tunaishi nyumba za kupanga na siyo apartment ni kwenye mabehewa nyumba moja familia tatu mpaka tano mzeeGas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-290 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Hii sio kamba kweli eti wadau😆😆😆😆"Majiko ya umeme masharti sana kama watu wenye mimba"