Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Rejea post ya juu Kuna receipt nimewekaMkuu nimemaanisha ukiweka na hizo tozo unapata unit 1 kwa shilingi ngapi?
Rejea post ya juu Kuna receipt nimewekaMkuu nimemaanisha ukiweka na hizo tozo unapata unit 1 kwa shilingi ngapi?
SawaRejea post ya juu Kuna receipt nimeweka
Serikali ishushe bei ya Umeme kama ilivyoahidi baada ya uzarishaji wa Bwawa la Umeme kuanza.Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-290 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Serikali ishushe bei ya Umeme kama ilivyoahidi baada ya uzarishaji wa Bwawa la Umeme kuanza.
Hakuna mtu aliyetuambia DSTV ni ghari tujiunge na Azam....!
Sisi wenyewe tunajua Umeme ni gharama Kwa Maisha ya Mtanzania wa kawaida...!
Labda kama unafanya biashara ya Majiko ya Umeme.
Mkuu bado unachemsha maji?tafuta water purifierNi uelewa tu, tuna uelewa mdogo ndio maana tunaogopa umeme. Niliwahi kujadili hii kitu na moja ya watu wangu wa karibu nikamwambia jinsi gani mkaa unatumalizia pesa bila kujua.
Kuna siku niliambiwa ninunue mkaa kwa ajili ya kuchemsha maji ya kunywa, nikawaambia nawanunulia umeme wa 5000 wachemshe kwenye jagi la umeme wajaze ndoo then waniambie units ngapi zimetumika. Toka siku hiyo matumizi ya mkaa yamepungua sana kwangu. Umeme 2units ulichemsha maji, wakati mkaa wa 3000 ungeisha, simple arithmetic.
Jiko la umeme kwa namna yoyote ni simple ,tatizo unaweza kunywa uji na dagaa badala ya ya ugali na dagaa .Bei ya umeme sio kubwa kivile ni ulimbukeni wa watu wengi tu mkuu
Nchi kama South Africa Gas ya kupikia ndiyo imeanza kutumika hivi karibuni, familia nyingi za hari ya Chini zinatumia Umeme kupikia, Umeme Kwa ajiri ya heater n.kBei ya umeme sio kubwa kivile ni ulimbukeni wa watu wengi tu mkuu
Pesa zetu, upange cha kuzinunulia wewe!!
Tena na unatutukana kabisa. Mnunulie mama yako na ndugu zako wqnatosha.
Ukipika mara moja ndio umemaliza, breakfast, lunch and dinnerUmesema 350 kwa unit
Ukiwa na jiko la watt 1000 ina maana kwa saa 1 tu ya upishi unahitaji unit 1 sawa na sh 350
350 inakushindaje mkuu?
kidonto
tuacheeeeeGas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-290 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Kwa wastani kwa siku ni masaa 2 sh 700Ukipika mara moja ndio umemaliza, breakfast, lunch and dinner
Bado chakula cha mtoto mchanga
Bado maji ya watoto kuogea
Siku 30 ni 21,000 bado fridge, pasi, taa nk elfu 40 lazima ikate kwa mweziKwa wastani kwa siku ni masaa 2 sh 700
Siku 30 ni 21,000 bado fridge, pasi, taa nk elfu 40 lazima ikate kwa mwezi
Kwa anayetumia umeme atakuwa ameokoa gharama kuliko atakayetumia gesi au mkaaUkipika mara moja ndio umemaliza, breakfast, lunch and dinner
Bado chakula cha mtoto mchanga
Bado maji ya watoto kuogea
Una mradi wa kuuza majikoKwa anayetumia umeme atakuwa ameokoa gharama kuliko atakayetumia gesi au mkaa
Ndio huo umeme wa 30k kwa mweziKwani unapotumia gesi au mkaa kupikia friji, pasi, taa n.k unaacha kutumia?
Mtungi wa gesi kg 15 hapo ulipo shingapi?Ndio huo umeme wa 30k kwa mwezi