Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-290 kwa wateja wa kawaida
Amount: 3,000.00
8.4KWH

Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
TOTAL 3,000.00

NB: Hiyo cost ya kWh uliyoipigia hesabu haina VAT, EWURA na REA. Bei halisi ya 1kWh ni sh. 357 hivi
 
Amount: 3,000.00
8.4KWH

Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
TOTAL 3,000.00

NB: Hiyo cost ya kWh uliyoipigia hesabu haina VAT, EWURA na REA. Bei halisi ya 1kWh ni sh. 357 hivi
Bado kuna unafuu kuliko gas
 
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."

Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?

Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?

Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?

Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.


​
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt

1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa

Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh

Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh


Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-290 kwa wateja wa kawaida

60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=

Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
​
Tunaenda kwa mkumbo Mkuu!
 
Amount: 3,000.00
8.4KWH

Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
TOTAL 3,000.00

NB: Hiyo cost ya kWh uliyoipigia hesabu haina VAT, EWURA na REA. Bei halisi ya 1kWh ni sh. 357 hivi
Yuko sahihi!
 
Jana wahudumu wa Tanesco wameniambia Tariff 4 ile ya elfu tisa kwa unit 75 inafutwa asap. Je, Kuna ambao wamesharudishwa tarriff 1
 
Flat screeen nchi kubwa ni Mafanikio kwa watanzania walio wengi, Mimi binafs sionag faida ya TV nyumban tena kama hizo za gharama ndo hasara tupu.
Burudan na habar zinapatikana hata kwenye simu, radio na magazeti au TV yoyote hata ingekua nchi sufuri.
 
Unit moja shilingi ngapi?
Hizi unit zinaendana na tariff

Tariff 1 bei yake ni tofauti ambapo ni kwa watu wenye matumizi yasiyozidi unit 75 bei ya unit 1 haifiki 120

Tariff 4 ipo kwa wenye matumizi ya wenye matumizi ya unit zaidi ya 75 hii ina range kwenye shilingi 350

LUKU
Name: TANESCO
Units: 28.0
Token: 4581 4850 0369 5962 2663
Principal: Tsh 10000
Total Paid: Tsh 10000
Breakdown of principal:
Electricity: 245.90 VAT 18% TSH 1475.40 EWURA 1% TSH 81.97 REA 3% TSH 245.90
Receipt: 9006252031827269783
Ref: EC102665261850
2025-07-22 18:27:27
Hii haina makato ya pango
 
Hizi unit zinaendana na tariff

Tariff 1 bei yake ni tofauti ambapo ni kwa watu wenye matumizi yasiyozidi unit 75 bei ya unit 1 haifiki 120

Tariff 4 ipo kwa wenye matumizi ya wenye matumizi ya unit zaidi ya 75 hii ina range kwenye shilingi 350
Mkuu nimemaanisha ukiweka na hizo tozo unapata unit 1 kwa shilingi ngapi?​
 
Back
Top Bottom