The Gworl
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 6,048
- 18,347
Huko Madukani Sina uhakika wabongo si tunauziana kwa kuviziana, lakini inarange kwenye 150k nakuendelea kulingana na Kampuni .yanauzwaje aya mkuu ?
Huko Madukani Sina uhakika wabongo si tunauziana kwa kuviziana, lakini inarange kwenye 150k nakuendelea kulingana na Kampuni .yanauzwaje aya mkuu ?
Tanesco's Motto.Kazi ya Tanesco inaishia kwenye Mita ? Sio kuhakikisha kila sehemu kunakuwa na umeme wa kutosha ? Yaani Shirika la Ugavi wa Umeme kazi yao ni kuishia kwenye mita na sio kila kinachofikishwa kwenye mita na kila sehemu kiwe kinatosha? Hapo kuna tatizo na tatizo lenu sio tatizo sawa na watanzania wengine kwahio ni jukumu lenu watu wa eneo kushurutisha na kuhakikisha hilo tatizo lenu linatatuliwa kwa kuanzia na Diwani wenu kufanya lobbying (sababu ni hatari kwa vyombo vyetu na inaweza kuleta hasara)
Na nimekupa option nyingine nunua slow cooker pika baadhi ya vyakula vinavyoweza kutumika kwenye slow cooker hata wali au nyama asubuhi viache vipike (weka timer) by jioni unakuta chakula chako kipo safi... (at most uta
Electricity they supply should be safe and up to standard..Tanesco's Motto.
Use electricity at your own risk.
Hata hiyo induction cooker nayo inahitaji kiwango cha umeme kilichotajwa kwenye kifaa, vingineyo hakitafanya kazi ilivyothibitishwa kwenye kifaa.
Utamalizia na gasTanesco nao jau unapika mala fyaaa wameubeba umeme wao.
Habari Mkuu!Pressure cooker za umeme zimechukua nafasi.
Na kwa wengine Gas ndio back up, iwapo itatokea umeme hakuna, (Pressure cooker) inasogezwa pembeni, unaweka jiko lako la Gas, Kupanga ni kuchagua kila mtu na chaguo lake.
- Unapika kwa muda mfupi zaidi.
- Matumizi ya umeme ni kidogo ukilinganisha na jiko la umeme.
Kipengle hiki sijaelewa., inbox sinafanikiwa kujipata..
Kwenye hii thread yetu < Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa >Naitaji msaada maswala ya kuship kutokea USA.. shukrani. @Mwl.RCT
Kwani jamani mshamba si mtu? Kwa nini mnawadharau wanaoishi shamba? Bila ya washamba huko mjini kwenu mtanunua chakula gani? Hivi kwa kuwa wenzenu wanaishi shamba ndio hawajui lolote na sio werevu? Come on!Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Viongozi ni devil's in white clothesGharama ya umeme ipo juu kidogo Tanzania ingawaje ukitumia kama backup sio mbaya maana umeme huo huo unalipia kiwanja chako pia una VAT na wanatamani waweke Import duty ingawaje umeme ni wa kwetu wao wataweka tu na kusema unatoka Ethiopia maana wa Mtera una gharama sana Wabongo wakishapata madaraka sio watu kabisaa.
aina ya vyakula wanavotumia watanzania wengi havipo friendly na majiko ya umeme.. unawezaje kupika ugali wa muhogo kwenye induction cooker??!Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Jiko efficiency ni kuanzia laki 4Mkuu, sio kuwa tunatakiwa kurekebisha chanzo. BEI YA UMEME. Punguzeni bei ya umeme watu watanunua majiko. TV ukiinunua kwa bei ghali matumizi yake yanakua ya gharama ndogo, mfano TV ya Inchi 55 ukiiwasha kwa masaa 24 itatumia unit 2 tu za umeme, ila jiko linalotumia Watt 2,500 ukilitumia kwa masaa 2.5 tu, unalinunua kwa labda laki 2 ila litatumia Unit 6 za umeme, sasa kwa mwezi mzima jiko tu litatumia unit 180 na hapo matumizi ni masaa 2.5 tu kwa siku na unit 1 ni Tshs. 357 hivi.
Kwa mwezi 1, jiko litakutoboa Tshs. 65,000/= ambayo hiyo ukinunua gesi utatumia miezi 2 kwa mapishi hayohayo unayofanya kwenye umeme. Punguzeni bei ya umeme, watu watanunua majiko.
Mkuu hapo msanzi ukinunua vitu kama majiko hayo ya induction, rotate chair n.k hivyo pale custom Tunduma kodi zinakuwa kubwa sana kama vitu ni vipya au ikojeNi vitu vya kitaalamu mkuu unadhani kujua watts zinamaanisha nini zilizoandikwa kwenye vitu vya umeme ni kazi ndogo..
Hili jambo la umeme kupungua ni kweli niliweka fridge guard sasa ikifika saa 12 jion inaacha kuwaka kijani inawaka taa nyekundu ila ikifika mda wa saa tano inawaka kijani na mda huo maana yake fridge aipati umeme lakini pia siku za wikiendi hali iko hivyoUmeme ni mdogo wewe unaniambia itakuwa low voltage! nijaribu kuwaita wataalam! Nimesema umeme mdogo eneo lote sasa niwaite wataalam toka wapi! Tanesco kazi yao inaishia kwenye mita na wao wanajua kuwa kuanzia jioni umeme unapungua mpaka saa tano na kuendelea, unataka waniwekee transfoma yangu peke yangu?
Hiyo 75 ni kwa watu matajiri na wenye uthibitisho kuwa wako kwenye mpango ya kaya masikini( tasaf) , vitu tz viko vice versa wengi tuliondolewa na uko kwenye vikao ilo jambo wanalisagia sana ,
Wengi wanalalamika majiko ya umeme yanapika taratibu ( moto wake sio instant kama gesi). Utakuta mtu ana jiko la gesi lina option ya umeme lakini haitumii. Binafsi sijajaribu.Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Sasa kwa hsli hiyo unawezsje kupikia jiko la umeme? Tatizo hapa naona kuwa aliyeleta mada hana jiko la umeme hivyo hajui matatizo ya kikatika katika umeme na upungufu wake, na kisha snanishauri niwaambie Tanesco sijui waniwekee transfoma yangu peke yangu mtaani!Hili jambo la umeme kupungua ni kweli niliweka fridge guard sasa ikifika saa 12 jion inaacha kuwaka kijani inawaka taa nyekundu ila ikifika mda wa saa tano inawaka kijani na mda huo maana yake fridge aipati umeme lakini pia siku za wikiendi hali iko hivyo
Kupika taratibu kunatokana na kutopata umeme kiwango kinachotakiwa, yaani voti 230/240.Wengi wanalalamika majiko ya umeme yanapika taratibu ( moto wake sio instant kama gesi). Utakuta mtu ana jiko la gesi lina option ya umeme lakini haitumii. Binafsi sijajaribu.