Mungu yupi?Sasa kwani wewe umeona watu wamehimiza kusali baada ya ghorofa kuanguka? Ibada zipo tu siku zote. Akina mwamposa wanafanya ibada kila siku,
Wewe Ni shetani ndio, unashawishi watu waache kumuomba Mungu wao huna maana, sio mfano mzuri wa kuigwa.
Kosa lako ni uelewa huu.Kwa bahati mbaya Sana mambo ya Imani Ukishaweka Fikra tu na Uchunguzi yote unayapoteza..
Kwa Sababu huwezi Kujenga Hypothesis Based on Something which has Not even evidently..
Ukiingiza Uchunguzi wa Kiakili basi Dini na imani yote unaipoteza hakuna Dini wala Imani kwenye Uchunguzi wa Kiakili wapa Tafakuri ya Kina..
Na ndo maana Magumu yote kwenye Imani Huitw fumbo la Imani
Biblia ni nini?Ngoja atuambie huo ukweli tunaupata vip nnje ya biblia
Fafanua kwa nini sio kweli?Sio kweli
Maana niliyoitoa haina uhusiano wowote wa watu kuoa mke zaidi ya mmoja. Kwamba ni sahihi au sio sahihi.Wengine wanakubali kuowa mke zaidi ya mmoja na wengine mke zaidi ya mmoja sio sahihi.
Hilo kwa kadiri ya maana ulioitoa unalifafanuaje?
Nimekuomba ufafanue hali hiyo kwa sababu maana uliyoitoa sio sahihi.Maana niliyoitoa haina uhusiano wowote wa watu kuoa mke zaidi ya mmoja. Kwamba ni sahihi au sio sahihi.
Kwa sababu kuoa na kuolewa ni makubaliano na maridhiano ya watu waliopendana wao wenyewe kwa maamuzi yao.
Wala sio kitu ambacho mtu hataki afanyiwe.
min -me unamuelewa Huyu mtuKosa lako ni uelewa huu.
Na hili ni kosa la waafrika wengi and because of this ignorance wanaingia kwenye mambo ambayo hawajui hayo mambo maana yake ni nini.
Jambo kutojulikana vizuri au jambo kutokuwa wazi sasa (Fumbo la Imani) haimanishi kwamba hilo jambo halichunguziki.
Imani au mambo ya Mungu ni sayansi, yanataka kufikiri na kufanya uchunguzi; kujua ukweli.
Ni mkusanyiko wa vitabu vinavyoitwa vitakatifu vinavyotumika kama mwongozo wa kiimani kwa wakristo.Biblia ni nini?
Roho mtakatifu ameletwa na Maandishi ya biblia kama Huamini Biblia Utassmaje unamjua Roho mtakatifu??Mkuu mpaka tuwe na roho mtakatifu ndio tutamwelewa labda🤔 Augostino ebu fafanua kwa undani zaidi
Leta hiyo maana yako sahihi, tuipime na tuchambue usahihi wake.Nimekuomba ufafanue hali hiyo kwa sababu maana uliyoitoa sio sahihi.
Nimekuliza kitu kingine umejibu kingine.Imani au mambo ya Mungu sio sayansi kwa sababu hayawezi kuthibitishwa kwa facts na empirical evidence.
DR.Roho mtakatifu ameletwa na Maandishi ya biblia kama Huamini Biblia Utassmaje unamjua Roho mtakatifu??
Maana kasema sio Maandishi yote yya biblia ni maneno ya Mungu
Min - me.Labda Mr @Augostino atufafanulie zaidi nnje ya biblia Mungu anathibitikaje?
Facts ni Muunganiko Wa Proved Hypothesis au Kwa kiswahili fasaha Facts ni Proved Theories..Nimekuliza kitu kingine umejibu kingine.
Facts ni nini?