Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Wanakwepa uwajibikaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu mkuuu. Hayo ni maneno tu yamewakaa mdomoni ila ki uhalisua ni watu wa hovyo wasioendana na hizo dini. Mimi mpaka sasa sijakutana na kijana anaeiishi dini.Wewe unamjua.Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya maneno(Maombi, Mungu, Allah, Ya Rabbi, Alhamdulillah na Yesu)
Hakika Watanzania dini imewakaa, ni viumbe wa kidini, bila dini na mungu sidhani kama wana tumaini lolote au muelekeo wowote wa maisha.
Lakini bado sio sababu ya kuwafanya watu wasiombe.Pia kifo hakikwepwi kwa maombi.
Mkuu, mimi nilitaka ufafanuzi tu juu ya mizimu ya mababu na hasa imani za asili.......na kama unavyosema imani ni confidence booster.....Kwa nini Waafrika wamezipoteza kwa ukubwa kiasi hicho.......Na huwa najiuliza kadri ya miaka inavyokwenda zitakuwa ni hadithi tu! Na siono hata dalili ya imani za kuletwa na marikebu kupoteza mvuto na na kupotea.....Who cares kama ni nadra au hata yupo mmoja au wawili..., Sababu Imani ni Imani kwahio anayeamini hizi zilizokuja na Merikebu na anayeamini hizo za mababu zetu wote ni Imani tu... Na kama nilivyosema sababu hizi ni confidence booster hata ukiamini Chale au Hirizi uliyovaa vyote vitakusaidi kwa kukupa Confidence kuamini kwamba kuna Super Power inakusaidia (Sasa tukitaka tuangalie authenticity ya hizo imani..., that's a different ball game)
Unaongea kitu gani weweNa ninyi mnaotumia kingereza kwenye post zenu humu mkome, wajinga.
Bado mnaonesha Ni jinsi gani mlivyo mazwazwa. Mnatumia lugha za kigeni ili tujue mmesoma au! Hiyo Ni lugha tu. Bahati mbaya sana ukishakuwa msomi mzuri Tanzania alafu na ukajua hako kakiingereza chako inakuwa ndio ngao yakutambia wajinga mkasahau kwamba kwa wenye lugha yao unaonekana fala mzuri tu kutokana na rafudhi 😃 huna tofauti na mzenji kwa rafudhi ya kiswahili hapa tz, watu watakuenjoy tu, mwenyewe unajiona umemaliza kila kitu.
Wasomi wetu Ni kwaajili ya nchi yetu.
Ndiyo namaanisha coz watz wapo bize kuponda dini za kigeni wakasahau wameshakuwa wahanga na vilema wa lugha za kigeni maneno mawili matatu kingereza hawaeleweki, Ni ujanja au ushamba huo.Unaongea kitu gani wewe
Kwani wapi mtu kaongea kingereza akasema kutokana na hilo yeye ana akili nyingi?🤔Ndiyo namaanisha coz watz wapo bize kuponda dini za kigeni wakasahau wameshakuwa wahanga na vilema wa lugha za kigeni maneno mawili matatu kingereza hawaeleweki, Ni ujanja au ushamba huo.
Tutajua Kama Ni msomi au unaakili nyingi kutokana na hoja na sio kingereza.
Kwa hiyo wanakuwa wanamaanisha Nini? Kwaupande wangu naona Ni hivyo hata huku mtaani hasa walevi Sasa sijui wa jf pia Ni walevi!Kwani wapi mtu kaongea kingereza akasema kutokana na hilo yeye ana akili nyingi?🤔
Kwa hyo watu wakiongea kingereza wewe huwa unachukia kabisa ?Kwa hiyo wanakuwa wanamaanisha Nini? Kwaupande wangu naona Ni hivyo hata huku mtaani hasa walevi Sasa sijui wa jf pia Ni walevi!
Moja ya vitu ambavyo sivipendi Ni kingereza na sababu za kutoipenda lugha hii zipo lukuki ambazo kimsingi zinaleta athari kubwa kwetu kuliko faida zake.Kwa hyo watu wakiongea kingereza wewe huwa unachukia kabisa ?
Kwa hyo watu wakiongea kingereza wewe huwa unachukia kabisa ?
Una matumizi mabaya ya chuki yaani una ufujaji wa chuki😂😂Hahahaa Kuna shombo moja huwa inakera, unakuta mtu kutoka usukumani au bukoba alafu anajikuta kwenye lafudhi ya kizaramo! Hahaha! Alafu ipo shombo nyingine unakuta kijana wa kitanzania anajikuta kwenye lafudhi ya kimarekani duh!
Mungu yupo ndugu Hilo halina ubishi, haushangai hata taifa la wajanja zaidi marekani wanamuamini Mungu wewe ni Nani upinge,in God we trust
Kwamba marekani kuamini Mungu ndio uthibitisho wa uwepo wake 😂😂😂KWa hiyo kwa wamarekani hakujawahi kuwa na wajinga na wapumbavu? Marekani ya 1776 sio ya sasa
HahahahaUna matumizi mabaya ya chuki yaani una ufujaji wa chuki😂😂
Kupata confidence / kuamini kwamba ulichopewa kinafanya kazi lazima ukiamini kwanza (Ndio maana wakati wa Vita vya dunia kulikuwa hakuna pain killers za kutosha, watu wakawa wanapewa punje za sukari na kudanganywa ni pain killer na zilifanya kazi) sababu hawakujua na waliamini..., Sasa wangekuwa wanapewa kijiko cha sukari kutoka kwenye mfuko ulioandikwa sugar, zisingefanya kazi...Mkuu, mimi nilitaka ufafanuzi tu juu ya mizimu ya mababu na hasa imani za asili.......na kama unavyosema imani ni confidence booster.....Kwa nini Waafrika wamezipoteza kwa ukubwa kiasi hicho.......Na huwa najiuliza kadri ya miaka inavyokwenda zitakuwa ni hadithi tu! Na siono hata dalili ya imani za kuletwa na marikebu kupoteza mvuto na na kupotea.....
Someni biblia vizuri kabla yakuanza kupinga mbona mnakuwa wavivu Mr. min-me?Kwamba marekani kuamini Mungu ndio uthibitisho wa uwepo wake 😂😂😂
Kwamba biblia ndio itathibitisha?Someni biblia vizuri kabla yakuanza kupinga mbona mnakuwa wavivu Mr. min-me?