Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.